Rene Jr.
JF-Expert Member
- Jan 31, 2014
- 3,737
- 2,402
Hiyo kamusi hakuna kitu, njoo na TUKI! Nimesoma kwenye hiyo link uliyonipa wananiambia "_ata" ni kitenzi, tafsiri yake kwa Kimombo ni "abandon".....seriously?!
Hebu rejea sentensi ya Ndugu Mavella "Hata TECNO" akimaanisha "pia" TECNO zina hiyo function, hapo ukitumia "ata" na kwa tafsiri uliyonipa link sentensi haitaleta maana haitaleta maana. Hata, Pia, Even, mimi nadhani hayo ndiyo maneno sahihi.
Mimi siyo mwanalugha lakini, naweza nisiwe sahihi sana.