Maajabu ya Application ya ku-lock simu kwa kutumia sura

Maajabu ya Application ya ku-lock simu kwa kutumia sura

Bila shaka inatumia camera ya simu husika au? Kisha ni camera yoyote au?

Inatumia front camera ya simu, ishu sio camera yoyote, ni simu yako inarun version gani ya android, ambayo itaiwezesha app yenyewe kufanya kazi vizuri.

Thanks for your Reputation by the way.
 
Sema akisogea mtu mwenye sura ya kufanana kidogo tuu au pacha wako ina unlock.Siyo secured kabisa
 
Back
Top Bottom