Maajabu! Wezi wakata mauno usiku kucha wakiwa uchi baada ya kuiba gari

hii ni janja ya waganga wa kienyeji huko kenya. hawa jamaa ni wavuta bangi, mwenye gari ni msanii, wanachotaka ni kupata wateja kwa kutangaza biashara ya huyo mganga.
 
By the way if you really want a piece of me .... just pm me. Tunaharibu threads za watu.
Prove God exists kwanza.

PM unataka nikutongoze?

Sina haja ya kutongoza mimi Bi Zuhra ninaye tayari.

Sent from my Kimulimuli
 
jamaa wamepewa pesa, wamejitoa ufahamu, na kwa kuwa ni wavuta bangi, na ajira ni ngumu, walikuwa tayari kuchukua pesa na kujidharirisha. hayo mambo yako sana kenya. hata manabii wa uongo wanaojidai huponya watu wenye matatizo, hutumia ujanja huohuo kwa kuwanunua watu na kujidai wamepona, ili watu wengi waje kwenye mihadhara yao.
 
Afrika tungekuwa tuna uchawi kweli tusingeibiwa kijinga na wazungu kama hawa wa makinika.

Mbona wale hamwalogi?

Tungekuwa na uchawi kweli kusingekuwa na vita kuondoa ukoloni.

Tungewapiga ndumba tu.

Uchawi mbina ulishindwa kuwaondoa makaburu?

Uchawi mbona haujaloga wezi wa mali ya umma?

Sent from my Kimulimuli
 
Acha longolongo.

Can you prove Gid exists?

Can you prove witchcraft exists?

Sent from my Kimulimuli
Hmmmmm....Gid??? I don't know who this one is. Your imaginary friend perhaps?? Sorry pal...am afraid that i can't help you with this one.

As far as GOD's existence is concerned I can't prove this one either because I am not allowed to question his existence too. All i do is believe, so unless someone believes...there is little I can do. And you will only believe if you face certain circumstances which I can't tell either.
 
Prove God exists kwanza.

PM unataka nikutongoze?

Sina haja ya kutongoza mimi Bi Zuhra ninaye tayari.

Sent from my Kimulimuli
Hahahahaa ..... ushahamia kwenye ngono mapema yote hii??

So you think the founder of JF designed a pm feature kwa ajili ya kutongozana tu?
 
hii ni janja ya waganga wa kienyeji huko kenya. hawa jamaa ni wavuta bangi, mwenye gari ni msanii, wanachotaka ni kupata wateja kwa kutangaza biashara ya huyo mganga.
Kwa wabongo wenye akili fupi matangazo ya biashara kama haya yanawapata sana.

Watu wanaona kucheza uchi ajabu wakati kila siku watu wanapiga picha za ngono uchi na zinaishi mtandaoni kila siku, kutoka hapo hapo Kenya.

Sasa mtu akishika mateja wake wawili na kuwapa kitu kidogo afanye tangazo la biashara kama hilo, au hata kutisha watu wasiibe gari lake, unafikiri hakuna mateja watakaokubali?

Watu wanaoenda sana kuamini uchawi kiasi kwamba ukiwalisha ujinga wowote wanaukubali tu.

Sent from my Kimulimuli
 
Dah....safi sanaaaa..... Ila imekaa kibinafsi sana....... Ingekuwa poa sana ingefanywa kwa wala rushwa na wezi wa Mali ya umma..... Ukipiga tu asubuhi mwenyewe unawahi kkoo.... unavua nguo na kuanza kukata mauno....

Sent from my beretta ARX 160 using JamiiForums Mobile App
 
Hmmmmm....Gid??? I don't know who this one is. Your imaginary friend perhaps?? Sorry pal...am afraid that i can't help you with this one.

As far as GOD's existence is concerned I can't prove this one either because I am not allowed to question his existence too. All i do is believe, so unless someone believes...there is little I can do. And you will only believe if you face certain circumstances which I can't tell either.
You are talking bullshit. Your God is a myth.

Sent from my Kimulimuli
 
Dah....safi sanaaaa..... Ila imekaa kibinafsi sana....... Ingekuwa poa sana ingefanywa kwa wala rushwa na wezi wa Mali ya umma..... Ukipiga tu asubuhi mwenyewe unawahi kkoo.... unavua nguo na kuanza kukata mauno....

Sent from my beretta ARX 160 using JamiiForums Mobile App
Uchawi ungekuwepo kweli, Afrika lingekuwa bara lililoendelea kuliko yote duniani.

Sent from my Kimulimuli
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom