Maajabu! Wezi wakata mauno usiku kucha wakiwa uchi baada ya kuiba gari

Wahenga walisema, penye ukweli, uongo hujitenga.

Penye wengi, haliharibiki jambo.

Tena walisema, wajinga ndio waliwao.

Asante mdau Lewis254 kwa kutuangazia mwanga hapa, tulikuwa tunapigana na giza totoro la imani za ujinga.
Hakika mkuu mwanzoni nilikuwa niko njia panda ila now nimeelewa what has happened

Haya mambo sijui mizukule, majini ni fix tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alaf kuna wapuuzi watakwambia afrika tuko nyuma,.such a good security.Hakuna cha alarm wala gia lock,utacheza mziki mpaka nifike.
 
View attachment 582522

Habari zinazochipuka hii leo toka Mombasa Nchini Kenya, wezi wawili yapata jana jioni waliliiba gari la bwana mmoja alilokuwa ameliegesha sehemu apate kinywaji kisha aende zake home.

Baada ya mabwana hao kufanya tendo hilo leo asubuhi wananchi wametamaushwa kwa kuwakuta wanaume hao wakicheza muziki kulizunguka gari hilo huku wakiwa uchi.

Gari hilo wanalodaiwa kuwa waliiba walikuwa wameliegesha pembeni huku nyoka wako shingoni!

Aisee iwe funzo kwa wengine, Mombasa hata shilingi haiokotwi, utashtukia umeliwa jicho usiku kucha ohhoo!

tanzama vile huo utapeli ulivyopangwa hapa mombasa....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom