Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,414
- 39,491
Habarini Wadau,
Hivi lakini mbona serikali Inawaangaisha wananchi hivi?
Juzi tu ni Rais Magufuli mwenyewe aliamuru Wafanyabiashara wadogo (maarufu wamachinga) wafanye biashara maeneo yao ya zamani.
Aidha alizitaka Halmashauri zote za manispaa zisiwasumbue wafanyabiashara hawa kwani Wanalipa kodi kwa maendeleo ya Taifa.
Leo hii Polisi wanaenda kuwatoa kwanguvu wafanyabiashara hawa...AJABU ZAIDI ni kwa utumiaji wa mabomu ya machozi kwa ishu ndogo hivyo.
Ni Mawili :-
1) Aidha hawa polisi hawana akili timamu
2) Au aliyeruhusu wafanyabiashara hawa kufanya biashara kwenye maeneo yao ya zamani hakufikiria kwanza na alitaka sifa tu.
Au haya Mabomu ya machozi yamekaa sana hivyo yanakaribia kulipuka yenyewe hivyo wameamua kuyatumia tu?
Kwakweli maamuzi mengine yanashangaza na ni ya ajabu.