Maajabu USA

Maajabu USA

NGUVUMOJA

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2011
Posts
1,347
Reaction score
329
Habari kutoka jimbo la Florida, USA zinasema, pametokea kuzama kwa ajabu kwa chumba cha Jaffrey Bush na mwenyewe akiwemo. Huku nyumba hiyo ikibaki bila ya dosari kwa nje lakini kwa ndani chumba cha kulala kikiwa kimezama kwa kina cha futi 20 (6m) hivi.
Matumaini ya kumuokoa Jaffrey Bush akiwa hai yanazidi kupotea kwa jinsi muda unavyozidi kwenda. Waokoaji wanashindwa kuingia ndani ya nyumba hiyo kwa kuhofia usalama wao.
My take: Huu ni ukumbusho kuwa tumche MUNGU
 
nimeona hii kitu pia kutoka kwa rafiki yangu aliyeko huko, naendelea kufuatilia
 
The end of the World is near.
 
sinkhole-tease.jpg 130301-florida-sinkhole-house-hmed-1215p.photoblog600.jpg Engineers work Friday, March 1, in front of a home where sinkhole opened up underneath a bedroom and swallowed a man in Seffner, Fla. nn_03ggu_sinkhole_130301.vembedlarge456.jpg Habari zaidi
 
Hawa wamarekan wanasema kama pepo haitokuwa America basi wao hawatoingia
Sasa ndio mungu anawakumbusha kumtii na kumuomba msamaha nae naomba awasamehe
 
Hakuna cha ajabu, sinkholes zimeanza kurekodiwa marekani since 1954. Its a natural disaster just like earthquake
 
Habari kutoka jimbo la Florida, USA zinasema, pametokea kuzama kwa ajabu kwa chumba cha Jaffrey Bush na mwenyewe akiwemo. Huku nyumba hiyo ikibaki bila ya dosari kwa nje lakini kwa ndani chumba cha kulala kikiwa kimezama kwa kina cha futi 20 (6m) hivi.
Matumaini ya kumuokoa Jaffrey Bush akiwa hai yanazidi kupotea kwa jinsi muda unavyozidi kwenda. Waokoaji wanashindwa kuingia ndani ya nyumba hiyo kwa kuhofia usalama wao.
My take: Huu ni ukumbusho kuwa tumche MUNGU
Hilo ni jambo la kisayansi tu rafiki, mambo ya kumcha mungu hayahusiki hapo.
 
Hakuna cha ajabu, sinkholes zimeanza kurekodiwa marekani since 1954. Its a natural disaster just like earthquake
Ni kweli tunapenda kutishana na kumsingizia Mungu, sio ajabu hata mazishi ya Padre pale Zanzibar mtu bila hata chembe ya aibu anasema ni "Mapenzi ya Mungu"!! Soma hapo kwenye red!

Sinkhole swallows up Florida man Jeffrey Bush

A Florida man has disappeared into a 20ft-deep (6m) sinkhole that swallowed up a bedroom in his house.
Jeffrey Bush, 36, is presumed dead after rescue crews failed to make contact with him.
Officials in the town near Tampa have postponed further rescue efforts until they determine how much of the ground under the house is compromised.
Sinkholes are common in certain parts of Florida, Hillsborough County's fire chief said.

"Florida essentially sits on a system of caverns," Chief Ron Rogers said, saying water erosion in the caverns causes them to collapse and sinkholes to form on the surface.
The sinkhole is currently 30ft wide and 20ft deep, but officials have established a 100ft-wide safety zone, fearing the top of the sinkhole is growing.
All they could see was a part of a mattress sticking out of the hole"

Ron Rogers Hillsborough County fire chief

"We don't know how stable the house is," Chief Rogers said, adding that additional parts of the home began to collapse into the ground while rescuers were inside.
soma zaidi BBC
 
Hawa wamarekan wanasema kama pepo haitokuwa America basi wao hawatoingia
Sasa ndio mungu anawakumbusha kumtii na kumuomba msamaha nae naomba awasamehe

Kwanini kila jambo mnamsingizia mungu?? Kweni hayo majanga shetani hawezi yafanya. Acheni ujuha wa kumsingizia Mungu kila janga, mengine tunayadababisha sisi wenyewe kwa umbumbumbu wetu.
 
Ndio tabia zetu binadam, kudharau mambo kwa kuyaona ni ya kawaida tu. Ok, hata kufa ni kwa kawaida tu.
 
Hakuna cha ajabu, sinkholes zimeanza kurekodiwa marekani since 1954. Its a natural disaster just like earthquake

acha kujipa moyo hayo ni maajabu na ukumbusho kutoka kwa mungu tubadilike
 
Kwanini kila jambo mnamsingizia mungu?? Kweni hayo majanga shetani hawezi yafanya. Acheni ujuha wa kumsingizia Mungu kila janga, mengine tunayadababisha sisi wenyewe kwa umbumbumbu wetu.

kama ni juha ni wewe shetani hawezi fanya bila mungu binfsi shetani pia ameumbwa na mungu jipe moyo lakini fahamu dunia ni njia tu.
 
Mambo ya Mungu hayo!! Anayebisha atuambie ni kwa nini hili Shimo litokee chumbani kwake tena akiwepo peke yake na si mahali pengine?? Mwacheni Mungu aitwe Mungu!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom