Maajabu uliyowahi yashuhudia Tanzania

Maajabu uliyowahi yashuhudia Tanzania

The only

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2011
Posts
11,088
Reaction score
14,577
Hapa tupeane uliyowahi yaona wewe kwa ushuhuda wako nitaanza mimi kama ifuatavyo;

1.Mkoani Iringa kuna eneo linaitwa kisima cha bibi kipo mlima wenye kona kumi na mbili kuingia Iringa njini eneo lenye kamsitu mwaka 1994 kwa macho yangu nilimshuhudia bibi huyo ambaye ni nadra sana na kumuona akiwa amevalia mavazi meupe na sura ya kun'gaa akiwa anaosha miguu, alikuwa mrefu sana kama futi 10 hii wameiona wengi sana hususani waliokulia mitaa ya kitanzini na kusoma azimio primary.

2.Nikiwa Kigoma niliwahi kuuona mto kijiji cha Kishanga ambao mchana unashuka mlima jioni unaanza kupanda mlima niligusa maji na kushuhudia mwenyewe yakipanda mlima tena polepole.

3.Kuna mzee alikuwa anaitwa Wanzinga alikuwa na gari bovu sana pale Njombe na trafiki hawamkamati lakini kuna kipindi wakaajiriwa wapya wakalikamata wakalipeleka polisi, mzee akaambiwa alipe fine akasema pale hana hela anaenda kuchukua nyumbani alipoondoka kama saa moja akarudi kulipa cha ajabu akadai wamemubia injini na kweli kukagua gari ilikuwa haina injini wala mafuta akadai kuwashitaki ndipo RPC akashuka akamtaka radhi na kuwaonya vijana wasikamate wazee cha ajabu mzee akarudishiwa faini akaliwasha likawaka na likaondoka.

HEBU NIPENI YENU
 
Hapa tupeane uliyowahi yaona wewe kwa ushuhuda wako ntaanza mimi kama ifuatavyo

1.Mkoani Iringa kuna eneo linaitwa kisima cha bibi kipo mlima wenye kona kumi na mbili kuingia iringa njini eneo lenye kamsitu mwaka 1994 kwa macho yangu nilimshuhudia bibi huyo ambaye ni nadra sana na kumuona akiwa amevalia mavazi meupe na sura ya kun'gaa akiwa anaosha miguuu alikuwa mrefu sana kama futi 10 hii wameiona wengi sana hususani waliokulia mitaa ya kitanzini na kusoma azimio primary
2.Nikiwa kigoma niliwahi kuuona mto kijiji cha kishanga ambao mchana unashuka mlima jioni unaanza kupanda mlima niligusa maji na kushuhudia mwenyewe yakipanda mlima tena polepole
3.Kuna mzee alikuwa anaitwa wanzinga alikuwa na gari bovu sana pale njombe na traffiki hawamkamati lakini kuna kipindi wakaajiriwa wapya wakalikamata wakalipeleka polisi mzee akaambiwa alipe fine akasema pale hana hela anaenda kuchukua nyumbani alipoondoka kama saa moja akarudi kulipa cha ajabu akadai wamemibia injini na kweli kukagua gari ilikuwa haina injini wala mafuta akadai kuwashitaki ndipo RPC akashuka akamtaka radhi na kuwaonya vijana wasikamate wazee cha ajabu mzee akarudishiwa faini akaliwasha likawaka na likaondoka.
HEBU NIPENI YENU

Hiyo ya Njombe imeniacha bila mbavu!
Siku njema!
 
Hiyo ya Njombe nakumbuka sana Lecture wetu mmoja hivi anaishi iringa alitusimulia class kua issue ilitokea iringa mjini na hilo gari lilikua maalumu kwa kubebea ULANZI... hadi leo lipo linapita na madumu ya ulanzi walio iringa mjini wanalijua huwa linapita limechoka mbaya na mzigo wake wa ulanzi lina suply kwenye Vilabu vya pombe.. Linatoka njombe shambani kuchukua mzigo.. Trafiki hawalikamati hilo...
 
Niliwahi shuhudia kwenye kijiji cha wavuvi kuwa mwekiti wao hajui kusoma ila anawapelekesha
 
Niliona wanachama wapya wa CCM wakipokelewa kwenye shughuli za kijeshi.
 
MTU kupigwa risasi mchana kweupeee!!!Mubashara kabisa.na hakuna hata mhalifu mmoja aliekamatwa.
Na Jeshi La Polisi lipo kimyaaaa..
Hilo tukio ni la ajabu saaana kutokea mkoani dodoma
 
Nimeshuhudia kuona Kiongozi mkubwa akisema
Nilikuwa najaribu, nikasukumiziwa huko
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom