Maajabu uliyowahi yashuhudia Tanzania

Maajabu uliyowahi yashuhudia Tanzania

Gari kuvamiwa live na majambawazi na kuipiga risasi 39 lkn haijampata dereva hata risasi moja,,
Mbeleni nikija kuwahadisia watt wangu najua wataniuliza tu”Baa.!!! “Huyo. Dereva alikua CYBORG au ROBOT?”
[emoji1321]
 
Maajabu niliyowah kuona duniani ni mtu kujua kusoma na kuandika alaf ana power ya kuongoza watu wenye phd zao na madegree yao over, Tz oyeeeee
 
Clouds kuanza kurusha taarifa zinazomuhusu makonda bila kuwaomba samahani ninashangaa sana
 
Mkuu wa kaya kuwaita watu wapumbavu, hapo hapo kuwaita Ndugu watanzania wenzangu,
 
Hiyo ya Njombe nakumbuka sana Lecture wetu mmoja hivi anaishi iringa alitusimulia class kua issue ilitokea iringa mjini na hilo gari lilikua maalumu kwa kubebea ULANZI... hadi leo lipo linapita na madumu ya ulanzi walio iringa mjini wanalijua huwa linapita limechoka mbaya na mzigo wake wa ulanzi lina suply kwenye Vilabu vya pombe.. Linatoka njombe shambani kuchukua mzigo.. Trafiki hawalikamati hilo...[emoji1] [emoji2] [emoji3]
Nikusahihishe Mkuu...kwa sasa mzee wetu ni marehemu na hyo gari ilikuwa ikitoka kijiji cha ihemi mbele kidogo ya tanangozi nakabla hujafika ifunda. Ni kweli mzee alikuwa Fundi sana wa mambo ya "remote sensing" ilikuwa anapofika mjini na ulanzi wake watoto kama 100 hivi tunampokea Maeneo ya mlandege kwa Suleiman darwesh.
 
Boss kumpachika mimba mke wa waziri.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom