Maajabu Tanzania

Mkuu, wakati Bush alipokuja hapa nchini mara ya kwanza, barabara za Arusha zilipigwa deki. Wakati huo alitembelea mahakama ya ICTR
 
Mkuu, wakati Bush alipokuja hapa nchini mara ya kwanza, barabara za Arusha zilipigwa deki. Wakati huo alitembelea mahakama ya ICTR

He! unisnambie. Nako Arusha? Bac huku kujikomba sasa.... Alipokuja Zing ping...sijui zing ping sijui nani yule wa china Walipinga deki? Au ni zile hela za Millenium challenge zinawasumbua? Lakini mbona naye china kajenga reli, wiwanda vya nguo, kafundisha watu kurusha mig fighter plane, na mengi tu mengine. Mbona marekani inapendelewa hivi? Au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…