Maajabu Songwe airport kuona huduma zingine uwanjani hazina faida

Amo90

Member
May 20, 2020
26
75
Manager wa uwanja wa songwe airport anawambia watumishi idara zingine za serikali (kama madini, afya, uhamiaji, kilimo, etc) wenye ofisi ktk uwanja kuanza kulipia huduma kama umeme, maji, etc.

Watumishi wanaambiwa watoe hela zao mfukoni yaani kama mko nyumba ya kupanga.

Yaani manager anaona huduma hizo hazina faida ya moja kwa moja kwake, hopeful he will be okay kama zisipowepo.

Lkn huduma hizo au uwepo wa idara hizo ndo zinaufanya uwanja kuwa na sifa za kimataifa na standard service to be available ktk uwanja wowote ndege.

Hayo maelekezo au maagizo yana wanafanya watumishi wa idara hizo kuona kwamba manager uwanja haoni umuhimu wa idara hizo ktk uwanja wa ndege wake wa ndege.

Kama ni maagizo ya mamlaka ya viwanja vya ndege basi hawana budi kuyaangalia upya kama ni maamuzi ya manager uwanja binafsi basi inahaja ya kuliangalia tena suala hilo.

Kama ni kushare cost wakuu wa taasisi husika ambazo wana ofisi zao uwanjani hapo wawasiliane kuona namna bora ya kufanya sio kuwachanganya watumishi na mzgo ambao hawahusiki direct kwa maana hawafanyi kazi binafsi pale.

Wahusika angalieni hayo yasitie doa uwanja wetu.
 
Kwa kawaida Kila idara ya serikali iliyopo uwanja wa ndege wanapaswa kulipia services zinazopatikana uwanjani kwa sababu nyinyi ni wapangaji na mnapata service..

Mnatumia ofisi,umeme,maji. na airport Kuna terminal building hii pia uwa inafanyiwa matengenezo pale mtakapoharibu, Ila kuhusu kuchangishwa kama mfanyakazi hapo haikubariki lakini kama ni taasisi na wewe ni mkuu wa hiyo taasisi inabidi mlipie. Wajuzi zaidi watakuja kufafanua
 
Hizi mada muwe mnaangalia na pa kuzileta, humu unakuta cute wife hajapanda ndege toka azaliwe unahisi anajisikiaje?
 
Back
Top Bottom