Mali asili wenyewe walimrudisha nyoka huyo eneo la tukio baada wanafamilia wa Marehemu Komba kumdai kwa ajili ya maziko.Waongezewe shitaka la kuua nyara za serekali
Mkuu, juzi wakati wa Krismas nilikuwa na rafiki yangu Mmanda wa Lituhi alinisimulia juu ya Mzee mmoja aliekuwa akihamisha mamba wake zaidi ya mia 2 (200) kutoka kijiji kimoja kwenda kijiji kingine.Mkuu rafiki yangu nilisoma nae primary alikwenda teaching college baada ya form four, first appointment alipangiwa huko kusini kwenye mpaka na Mozambique. Tulikutana anafight apate uhamisho kurudi Dar, aliniambia kuna siku aliona nyoka, ameanza kupiga kelele watu wakaambiana aah si nyoka wa Fulani yule, tena huyo Fulani aliitwa aje amchukue nyoka wake, alipokua alimuita na nyoka alimfuata.
Rafiki yangu lile tukio hata kaa alisahau, mwisho wa yote alihama huko.
Hii science yao mkuu hata wakina Newton hawaoni ndani matatizo ni kuwa iko under cover.Mkuu, juzi wakati wa Krismas nilikuwa na rafiki yangu Mmanda wa Lituhi alinisimulia juu ya Mzee mmoja aliekuwa akihamisha mamba wake zaidi ya mia 2 (200) kutoka kijiji kimoja kwenda kijiji kingine.
Madai yake ni kwamba mahali walipokuwa wamekuwa wengi(aliwabakiza kama 40 au zaidi) na malisho yamemekuwa haba. Alikokuwa akiwapeleka ana mwanae kaolewa huko hivyo atakuwa akiwaangalia.
Namna alivyokuwa akiwahamisha ndio iliniacha hoi zaidi: Mzee anatembea nchi na mamba wanasafiri ziwani, wote wakielekea upande mmoja.
Okey ili uamini niinbox majina yako matatu nikupe muono mpya 2017 ,japo badae ntajaribu kwa hili jina lako usjali utakuja kukiri hapa.Soon utagundua kuna mazito yanaendelea behind ze scene
Yaani cjui ni kwann mmoja wao haji-sacrifice akayaandika hata kama ni kupotea kwa ajili ya wengine.Hii science yao mkuu hata wakina Newton hawaoni ndani matatizo ni kuwa iko under cover.
Yes tena??Alitakiwa amrudie Yesu haraka na kutubu dhambi zake.Bila shaka alikuwa hajui kwamba Yesu ni Njia,Kweli na Uzima.
Umeyaona, au kwa hizi simulizi?Kweli niliambiwa kua uyaone, sasa nayaona mambo makubwa na ya ajabu kwenye hii Dunia.
Yes tena??Alitakiwa amrudie Yesu haraka na kutubu dhambi zake.Bila shaka alikuwa hajui kwamba Yesu ni Njia,Kweli na Uzima.
BitozHaha masela wamepuuzia maneno ya marehemu na kumdedisha Nyoka John matokeo yake wamemdedisha na jamaa
Umeyaona, au kwa hizi simulizi?
Ma daktari wetu wanaamini nguvu za giza hawawezi kutoa taarifa ya kitabibuUchunguzi wa daktari unaonyesha kifo cha marehemu kimetokana na nini? Ni vigumu sana kwangu kuamini ngonjera kama hizi!
Wapo wanaokufa baada ya wapendwa wao kufariki. Wengi tuWatu wanafiwa na ndugu zao wa muhimu sana lakini hatuhmjawahi sikia kama mtu kapata hisia mpaka zmemsabshia kifo ,hebu tueleze kwa kina rukuelewe ,kulikuwa na uhusiano gan kati ya nyoka na na huyo binadamu komba ?????
Mkoa unaoongoza kwa mambo ya kishirikina ni DsmAfu watu kila siku kubwabwaja tu ooh sumbawanga kuna uchawi,oneni mambo ya wangoni huko dadeki wanatisha balaa