Kijana Mdogo Hayajui Hayo Hata Post Yenyewe Haina Mashiko.Una uhakika na unachooandika? Unajua kila siku asbh Raisi lazima apate briefing ya mkoa mzima? viongozi wakuu wa serikali wa mkoa hua wanakutana nae na kujadili masuala ya mkoa kabla ya kuelekea katika shughuli za nje alizopangiwa?
inaonekana uko mtu mjinga sanaMkuu, nadhani nadhani kutoka buku 7 mpaka buku2.
Mpaka mzee wa Tusker alitaka kukimbi Lumumba.
Inasomeka na bundle ni juu yao
Mkuu,Hizi shule za kusomea ujinga mnazipata wapi?
Kabla hujaleta ujinga hapa kwenye jukwaa jaribu kufanya hata utafiti kidogo.
Kwani Rais hakupita katika Mikoa minne?
Kwani ni lazima Rais afike Makao Makuu ya Wilaya na Mkoa ndio uelewe kuwa amefanya ziara.
Au ulidhani Rais alikuwa anasafiri kwa kutumia usafiri wa anga?
Mkuu,inaonekana uko mtu mjinga sana
Mkuu,
Maajabu ni wewe kuja kucoment, Ukweli ni kuwa umeongea non sense.
Kama ziara za nje zimemshinda za ndani afanye effectively, naaza na wasaidizi wake why wanafanya sivyo ndiyo?
Na ukileta fyokofyoko unakatwa mkia uwapo malishoni..Hao ndio wanaisoma vizuri sanaa...yaan wanapigwa viboko huku wanalazimishwa kucheka badala ya kulia
Aliyesimamia protokali ni Mh Rais, aliyemshauri ni Mh Rais, aliyepanga pakutembelea ni Mh Rais, atakayefanya majumuisho ni Mh Rais. Watakaolalamika Mh Rais atawashughulikia...................!!!!!!!!!!!!!!Wakuu Heshima Mbele.
Ikulu kupitia msemaji wake mkuu, Ndg. Msigwa, waliuaminisha Umma wa watanzania kuwa Mtukufu Rais atakuwa na ziara ya kikazi katika Mikoa Minne kwa siku Nne yaani Mkoa wa Singida, Tabora, Shinyanga na Geita.
Ajabu na kweli ni kuwa, Mhe.Rais hakuweza kufika Makao Makuu ya Mikoa hiyo kama ilivyo ada za ziara za wakuu wa nchi wakiwa mkoani.
Lakini pia hakuweza kusomewa taarifa za Mkoa kama ilivyo kawaida ya ziara za wakuu wa nchi wawapo katika Mkoa husika.
Si hilo tu bali hata hakuweza kufanya Majumuisho ya ziara kwa kila Mkoa kwa kukutana walau na wadau wa maendeleo wa Mkoa husika.
Nani alisimamia protokali ya ziara ya Mhe. Rais?
Haya ni Maajabu na Kweli Yametokea?
Una hakika ? Mbona Geita mjini alifikaWakuu Heshima Mbele.

Una uhakika na unachooandika? Unajua kila siku asbh Raisi lazima apate briefing ya mkoa mzima? viongozi wakuu wa serikali wa mkoa hua wanakutana nae na kujadili masuala ya mkoa kabla ya kuelekea katika shughuli za nje alizopangiwa?
Maajabu mengine katika ziara hiyo ni kutokana na kuyakiuka matamko yake yeye mwenyewe aliyotamka ya kupiga marufuku shughuli zozote za kisiasa hadi mwaka 2020, wakati yeye katika ziara yake yote ya mikoa 4 alipiga siasa tupu kwa kukifagilia chama chake cha CCM na kuviponda vyama vya upinzani!Wakuu Heshima Mbele.
Ikulu kupitia msemaji wake mkuu, Ndg. Msigwa, waliuaminisha Umma wa watanzania kuwa Mtukufu Rais atakuwa na ziara ya kikazi katika Mikoa Minne kwa siku Nne yaani Mkoa wa Singida, Tabora, Shinyanga na Geita.
Ajabu na kweli ni kuwa, Mhe.Rais hakuweza kufika Makao Makuu ya Mikoa hiyo kama ilivyo ada za ziara za wakuu wa nchi wakiwa mkoani.
Lakini pia hakuweza kusomewa taarifa za Mkoa kama ilivyo kawaida ya ziara za wakuu wa nchi wawapo katika Mkoa husika.
Si hilo tu bali hata hakuweza kufanya Majumuisho ya ziara kwa kila Mkoa kwa kukutana walau na wadau wa maendeleo wa Mkoa husika.
Nani alisimamia protokali ya ziara ya Mhe. Rais?
Haya ni Maajabu na Kweli Yametokea?
Wakuu Heshima Mbele.

briefing ya kusalimiana airport au tunazungumzia maendeleo na wadauUna uhakika na unachooandika? Unajua kila siku asbh Raisi lazima apate briefing ya mkoa mzima? viongozi wakuu wa serikali wa mkoa hua wanakutana nae na kujadili masuala ya mkoa kabla ya kuelekea katika shughuli za nje alizopangiwa?
Ina maana hata lumumba cku hz mnaisoma? [emoji15]
Hii dhana ya kila anaesifia utendaji wa Rais ni wa Lumumba na anaekosoa ni wa Ufipa,inawapoteza sana.....Ina maana hata lumumba cku hz mnaisoma? [emoji15]