Maajabu na kweli katika ziara ya siku 4 ya Rais

Emmanuel R. Ntobi

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2014
Posts
691
Reaction score
1,496
Wakuu Heshima Mbele.
Ikulu kupitia msemaji wake mkuu, Ndg. Msigwa, waliuaminisha Umma wa watanzania kuwa Mtukufu Rais atakuwa na ziara ya kikazi katika Mikoa Minne kwa siku Nne yaani Mkoa wa Singida, Tabora, Shinyanga na Geita.

Ajabu na kweli ni kuwa, Mhe.Rais hakuweza kufika Makao Makuu ya Mikoa hiyo kama ilivyo ada za ziara za wakuu wa nchi wakiwa mkoani.

Lakini pia hakuweza kusomewa taarifa za Mkoa kama ilivyo kawaida ya ziara za wakuu wa nchi wawapo katika Mkoa husika.

Si hilo tu bali hata hakuweza kufanya Majumuisho ya ziara kwa kila Mkoa kwa kukutana walau na wadau wa maendeleo wa Mkoa husika.

Nani alisimamia protokali ya ziara ya Mhe. Rais?

Haya ni Maajabu na Kweli Yametokea?
 
Una uhakika na unachooandika? Unajua kila siku asbh Raisi lazima apate briefing ya mkoa mzima? viongozi wakuu wa serikali wa mkoa hua wanakutana nae na kujadili masuala ya mkoa kabla ya kuelekea katika shughuli za nje alizopangiwa?
 
Wakuu Heshima Mbele.
Ikulu kupitia msemaji wake mkuu, Ndg. Msigwa, waliuaminisha Umma wa watanzania kuwa Mtukufu Rais atakuwa na ziara ya kikazi katika Mikoa Minne kwa siku Nne yaani Mkoa wa Singida, Tabora, Shinyanga na Geita.

Ajabu na kweli ni kuwa, Mhe.Rais hakuweza kufika Makao Makuu ya Mikoa hiyo kama ilivyo ada za ziara za wakuu wa nchi wakiwa mkoani.

Lakini pia hakuweza kusomewa taarifa za Mkoa kama ilivyo kawaida ya ziara za wakuu wa nchi wawapo katika Mkoa husika.

Si hilo tu bali hata hakuweza kufanya Majumuisho ya ziara kwa kila Mkoa kwa kukutana walau na wadau wa maendeleo wa Mkoa husika.

Nani alisimamia protokali ya ziara ya Mhe. Rais?

Haya ni Maajabu na Kweli Yametokea?
Acha kukariri mambo
Magufuli hasubiri kufanya ziara mkoani ndipo asomewe taarifa.Taarifa zinaletwa kwake kwa mtiriko maalum
Sio lazima kufika makao ya mkoa na kuhutubia,wilayani pia kuna watanzania
 
Wakuu Heshima Mbele.
Ikulu kupitia msemaji wake mkuu, Ndg. Msigwa, waliuaminisha Umma wa watanzania kuwa Mtukufu Rais atakuwa na ziara ya kikazi katika Mikoa Minne kwa siku Nne yaani Mkoa wa Singida, Tabora, Shinyanga na Geita.

Ajabu na kweli ni kuwa, Mhe.Rais hakuweza kufika Makao Makuu ya Mikoa hiyo kama ilivyo ada za ziara za wakuu wa nchi wakiwa mkoani.

Lakini pia hakuweza kusomewa taarifa za Mkoa kama ilivyo kawaida ya ziara za wakuu wa nchi wawapo katika Mkoa husika.

Si hilo tu bali hata hakuweza kufanya Majumuisho ya ziara kwa kila Mkoa kwa kukutana walau na wadau wa maendeleo wa Mkoa husika.

Nani alisimamia protokali ya ziara ya Mhe. Rais?

Haya ni Maajabu na Kweli Yametokea?
Hayo nimawazo yako, sijui ulitegemea nawewe ungejumuishwa! Sisi tunampenda sana raisi wetu.
 
Haya ni Maajabu na Kweli Yametokea?

Oooh Maajabu na kazi zimesimama, nchi imeyumba...

Unakuja kutuambia sisi tushangae au tukujibu? Ka vile wewe uliyesema maajabu umeshindwa nini kuja kusema yasiyo maajabu kuyaandika...

Oooh maajabu, Magu leo hajui afanyalo...ooh mazoea ya kila siku hayawatoki wengineeeee....
 
Wakuu Heshima Mbele.
Ikulu kupitia msemaji wake mkuu, Ndg. Msigwa, waliuaminisha Umma wa watanzania kuwa Mtukufu Rais atakuwa na ziara ya kikazi katika Mikoa Minne kwa siku Nne yaani Mkoa wa Singida, Tabora, Shinyanga na Geita.

Ajabu na kweli ni kuwa, Mhe.Rais hakuweza kufika Makao Makuu ya Mikoa hiyo kama ilivyo ada za ziara za wakuu wa nchi wakiwa mkoani.

Lakini pia hakuweza kusomewa taarifa za Mkoa kama ilivyo kawaida ya ziara za wakuu wa nchi wawapo katika Mkoa husika.

Si hilo tu bali hata hakuweza kufanya Majumuisho ya ziara kwa kila Mkoa kwa kukutana walau na wadau wa maendeleo wa Mkoa husika.

Nani alisimamia protokali ya ziara ya Mhe. Rais?

Haya ni Maajabu na Kweli Yametokea?
unadhani hayo maamuzi aliyatoa kichwani tu? unadhani hayo makabrasha hakupewa na akawa anasoma kwenye gari? kama mulitegemea mkae kikao cha majumuisho mlipane na posho imekula kwenu.
 
Oooh Maajabu na kazi zimesimama, nchi imeyumba...

Unakuja kutuambia sisi tushangae au tukujibu? Ka vile wewe uliyesema maajabu umeshindwa nini kuja kusema yasiyo maajabu kuyaandika...

Oooh maajabu, Magu leo hajui afanyalo...ooh mazoea ya kila siku hayawatoki wengineeeee....
Mkuu,
Maajabu ni wewe kuja kucoment, Ukweli ni kuwa umeongea non sense.

Kama ziara za nje zimemshinda za ndani afanye effectively, naaza na wasaidizi wake why wanafanya sivyo ndiyo?
 
Hizi shule za kusomea ujinga mnazipata wapi?

Kabla hujaleta ujinga hapa kwenye jukwaa jaribu kufanya hata utafiti kidogo.

Kwani Rais hakupita katika Mikoa minne?

Kwani ni lazima Rais afike Makao Makuu ya Wilaya na Mkoa ndio uelewe kuwa amefanya ziara.

Au ulidhani Rais alikuwa anasafiri kwa kutumia usafiri wa anga?
 
Wakuu Heshima Mbele.
Ikulu kupitia msemaji wake mkuu, Ndg. Msigwa, waliuaminisha Umma wa watanzania kuwa Mtukufu Rais atakuwa na ziara ya kikazi katika Mikoa Minne kwa siku Nne yaani Mkoa wa Singida, Tabora, Shinyanga na Geita.

Ajabu na kweli ni kuwa, Mhe.Rais hakuweza kufika Makao Makuu ya Mikoa hiyo kama ilivyo ada za ziara za wakuu wa nchi wakiwa mkoani.

Lakini pia hakuweza kusomewa taarifa za Mkoa kama ilivyo kawaida ya ziara za wakuu wa nchi wawapo katika Mkoa husika.

Si hilo tu bali hata hakuweza kufanya Majumuisho ya ziara kwa kila Mkoa kwa kukutana walau na wadau wa maendeleo wa Mkoa husika.

Nani alisimamia protokali ya ziara ya Mhe. Rais?

Haya ni Maajabu na Kweli Yametokea?
mkuu rangi yako kwenye avatar nimeielewa,ulipigia picha gizani bila shaka!
 
Hizi shule za kusomea ujinga mnazipata wapi?

Kabla hujaleta ujinga hapa kwenye jukwaa jaribu kufanya hata utafiti kidogo.

Kwani Rais hakupita katika Mikoa minne?

Kwani ni lazima Rais afike Makao Makuu ya Wilaya na Mkoa ndio uelewe kuwa amefanya ziara.

Au ulidhani Rais alikuwa anasafiri kwa kutumia usafiri wa anga?
Bado yuko tuition.. Lumumba endeleeni kumpiga msasa
 
Back
Top Bottom