"maajabu" mwenye division 4 point 26 amepata post ya form five.

Msishangae mbona inaonesha amepangwa HKL yaani kwa DDC! Inawezekana na co mara ya kwanza kutokea! Wengine huwa hawapewi post sababu unaweza hawana hata komb itakayotokea DDC
 
Mleta mada una uhakika na ulicholeta humu jukwaani?

Kwanza, NECTA haihusiki na uchaguzi wa wanafunzi wanaojiunga na kidato cha tano, kazi hiyo hufanywa na Wizara ya Elimu (MOEVT.

Pili, kama unaushahidi wa watu wasiokuwa na sifa na wamechaguliwa kama ulivyosema, na kwa kuwa humu JF tuna wataalamu wa maswala mbalimbali ni vizuri uweke hapa namba zao za Mitihani ili hoja itendewe haki.
 
Hamna ukweli wowote hapo kwani kuna wanafunzi wana 4 ya 26 pamoja na credits tatu lakini hawakuchukuliwa.
 
Alifuatilie suala hilo kwanza kabla ya kujoin coz b4 siting for advance necta,lazima usahili ufanyike
Hivyo utaumbuka!
"PREVENTION IS BETTER THAN CURE"
 
Nina uhakika mkuu ana C mbili tu, ndo maana nikaamua kuileta hii thread ili nijue kama necta wanachukua hadi dv 4 point 26 au la, ila mimi ninachoona labda kuna tatizo wamelifanya necta.
Kama ni kweli basi kuna makosa katika selection. Necta hawafanyi selection bali wanatoa matokeo tu. Selection inafanywa na WEMU/TAMISEMI na baadhi ya wakuu wa shule zenye kidato cha 5/6. Asifikiri ameukata. Afuatilie mapema apate uhakika kwanza.
 
ni error tu hizo maana wakati wanafanya hiyo kazi wakuchagua watakao soma form five walikuwa wamekunywa pombe.
 
Back
Top Bottom