Maajabu: Moto unao waka kwenye maji

Maajabu: Moto unao waka kwenye maji

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
19,349
Reaction score
36,317
Huko nchini Jamaica katika mji wa ST. ANN kuna chemchem ya maji . Ndani ya chemchem hiyo kuna moto ambao huwaka masaa yote. Maelfu ya watalii humiminika katika mji huo kushuhudia maajabu hayo..Pamoja na picha, nimekuwekeeni na link ya you tube inayoo onyesha maajabu hayo ya uumbaji.

149.jpg




09%20firewater%2006.JPG


images



images

images



images


DSC03012.jpg




LINK : Jamaica Fire Water, St. Ann, Jamaica - YouTube
 
149.jpg


Naona mtu anasafisha nyota ili apate mtoto kwa hizi dalili, kama anaogesha vile ile maneno
 
Kama kuna gas ndio inasababisha moto uwake, hayo maji si yangezima huo moto??

mkuu likud hapa ninahisi kutakuwa kuna gesi au petroli chini ya hayo maji serikali ya jamaika ikifanya utafiti itagunduwa maelezo ninayosema mimi ni ya ukweli ndani yake.
 
Africa ndo zetu,maajab yasiyotunufaisha tunayo tele.africa sumba-wanga tupate maedeleo
 
chini kuna mafuta na gesi hakuna maajabu walla nn, wajiandae tukuchimba
 
Back
Top Bottom