Maajabu: Moto unao waka kwenye maji

Maajabu: Moto unao waka kwenye maji

Tanzania ina maajabu mengi kuliko hayo. Mwigulu Nchemba kuwa amefika form six tu ni ajabu la dunia
 

Kumbe moto huu hauunguzi! Makubwa haya!
 
Last edited by a moderator:
Hakuna chai Maajabu hapo ni Machemistry tu plus Usangoma....kuna mawe yanaitwa Calcium of Carbide (CaC) mawe hayavumiliki ukiweka kwenye maji yanafanya Reaction na kutoa gasi iitwayo Acetelyne ( C-H-H-C) au (C2H2) na kuacha mabaki ya chokaa (Sludge) (OH-CA-OH) au Ca(OH)2 Hivyo basi gasi hii inawaka ikiwashwa.....


NASHANGAA TAA " INAWASHWA" LAKINI HAIJIKUNI chai
Moto wa kibisa huo
 
Back
Top Bottom