Maajabu mengine ya viongozi wetu

tryvenak

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2017
Posts
248
Reaction score
298
Kutoka bungeni dodoma, nimeckia mbunge mmoja akisema tena kwa kujihami akidhani anaongea kitu cha maana
Eti saloon ni kiwanda kwahyo kipewe support kubwa.
Hivi saloon inatoa huduma au bidhaa?
Nadhan angeulizwa ni bidhaa gani inayotolewa na saloon ambayo inaweza kuwekwa kwenye soko na kuchangia pato la taifa.
Kilichonitisha kabsa asilimia kubwa ya wabunge wamepiga makofi kuashiria wanaunga mkono hoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…