'Maajabu! Meli yapigwa picha ikiwa 'angani' pwani ya Uingereza

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Oct 26, 2018
21,713
35,525
Picha ya kile kinachoonekana kuwa meli ilio angani imenaswa kutokana na hali isio ya kawaida karibu na pwani ya England.

David Morris alipiga picha ya meli hiyo karibu na eneo la Falmouth, Cornwall.

Mwandishi wa masuala ya hewa wa BBC David Braine alisema kwamba uhuishaji huo ulionekana kutokana na hali maalum ya anga ambayo hupinda mwanga.

Anasema kwamba hali hiyo hupatikana sana katika bahari ya Arctic, lakini inaweza kuonekana mara chache nchini Uingereza wakati wa majira ya baridi.

Bwana Moris alisema kwamba alishangazwa aliponasa picha hiyo huku akitazama bahari kutoka alipokuwa.

Bwana Braine alisema: Picha kama hizo hutokea kutokana na hali ya hewa kwa jina 'temperature inversion' ambapo hewa baridi huwa karibu na bahari huku hewa yenye joto ikiwa juu yake.

Kwasababu hewa baridi ni nzito kuliko hewa yenye joto, hupinda mwangaza unaokaribia macho ya mtu aliye ardhini ama katika pwani na kubadilisha muonekano wa kitu.

"Picha kama hizo zinaweza kuwa aina tofauti - hapa meli hii inaonekana ikiolea juu ya eneo lake , lakini wakati mwingine kitu kilicho chini ya upeo wa macho kinaweza kuonekana.
Screenshot_20210307-091659_Facebook.jpg
 
Hii ni normal physics phenomena, kama ukizijua concepts muhimu za Light Part 1 na Part 2 katika kitabu cha Oxford you are most likely to understand
Hata wale ambao wamesoma vitabu madhubuti vya physics hasa katika topic ya Light this seems something very normal.
 
Picha ya kile kinachoonekana kuwa meli ilio angani imenaswa kutokana na hali isio ya kawaida karibu na pwani ya England.

David Morris alipiga picha ya meli hiyo karibu na eneo la Falmouth, Cornwall.

Mwandishi wa masuala ya hewa wa BBC David Braine alisema kwamba uhuishaji huo ulionekana kutokana na hali maalum ya anga ambayo hupinda mwanga.

Anasema kwamba hali hiyo hupatikana sana katika bahari ya Arctic, lakini inaweza kuonekana mara chache nchini Uingereza wakati wa majira ya baridi.

Bwana Moris alisema kwamba alishangazwa aliponasa picha hiyo huku akitazama bahari kutoka alipokuwa.

Bwana Braine alisema: Picha kama hizo hutokea kutokana na hali ya hewa kwa jina 'temperature inversion' ambapo hewa baridi huwa karibu na bahari huku hewa yenye joto ikiwa juu yake.

Kwasababu hewa baridi ni nzito kuliko hewa yenye joto, hupinda mwangaza unaokaribia macho ya mtu aliye ardhini ama katika pwani na kubadilisha muonekano wa kitu.

"Picha kama hizo zinaweza kuwa aina tofauti - hapa meli hii inaonekana ikiolea juu ya eneo lake , lakini wakati mwingine kitu kilicho chini ya upeo wa macho kinaweza kuonekana.View attachment 1719118
Hiyo meli haipo angani,,

ukiangalia kwa makini unaweza kuona upende wa mbele wa meli kuna maji ya bahari.

Ni macho yanadanganya Mkuu..
 
Hii ni normal physics phenomena, kama ukizijua concepts muhimu za Light Part 1 na Part 2 katika kitabu cha Oxford you are most likely to understand
Hata wale ambao wamesoma vitabu madhubuti vya physics hasa katika topic ya Light this seems something very normal.
So unahisi wanatupanga kwann wauambie ulimwengu wakati.wanajua physics vizuri
 
Acheni ushambaaazz apo kuna matabaka mawili ya maji lile labblue koza na blue iliyopauka kama ya anga sasa meli ipo ktk lile tabaka la bluu iliyofanan na anga alafu mpiga picha kapiga akiwa usawa karibu na maji cm chache kugusa maji akiwa horizontal na hapo kulikua hamna mawingu, ukitaka kuona vizur i zoom picha alafu sogeza jicho juu yabscreen angalia kama unaichungulia kwa chini
 
kungekosekana kwa hayo maelezo yanayoelezea mchakato mzima wa namna inavyofanyika watu wangeishaanza kusema miujiza, siku za mwisho zimekaribia, satanic ship, ilishatabiriwa kwenye vitabu vya mungu, nk

na hapo ndio imani za kishirikina huanzia
 
Picha ya kile kinachoonekana kuwa meli ilio angani imenaswa kutokana na hali isio ya kawaida karibu na pwani ya England.

David Morris alipiga picha ya meli hiyo karibu na eneo la Falmouth, Cornwall.

Mwandishi wa masuala ya hewa wa BBC David Braine alisema kwamba uhuishaji huo ulionekana kutokana na hali maalum ya anga ambayo hupinda mwanga.

Anasema kwamba hali hiyo hupatikana sana katika bahari ya Arctic, lakini inaweza kuonekana mara chache nchini Uingereza wakati wa majira ya baridi.

Bwana Moris alisema kwamba alishangazwa aliponasa picha hiyo huku akitazama bahari kutoka alipokuwa.

Bwana Braine alisema: Picha kama hizo hutokea kutokana na hali ya hewa kwa jina 'temperature inversion' ambapo hewa baridi huwa karibu na bahari huku hewa yenye joto ikiwa juu yake.

Kwasababu hewa baridi ni nzito kuliko hewa yenye joto, hupinda mwangaza unaokaribia macho ya mtu aliye ardhini ama katika pwani na kubadilisha muonekano wa kitu.

"Picha kama hizo zinaweza kuwa aina tofauti - hapa meli hii inaonekana ikiolea juu ya eneo lake , lakini wakati mwingine kitu kilicho chini ya upeo wa macho kinaweza kuonekana.View attachment 1719118
Ni kama rula au kitu kilichoonyoka kikiwekwa kwenye maji kinaonekana kimepinda au anga, bahari, mto, ziwa huoneka bluu siyo? It's a miracle!
 
Back
Top Bottom