Maajabu: Mchungaji aagiwa kwenye hoteli ya kitalii!

Maajabu: Mchungaji aagiwa kwenye hoteli ya kitalii!

Wewe na hao wanaokufuru kula sadaka za wanakondo wa Bwana kwenye nyumba za Starehe ndiyo wanaoudhalilisha Ukristo.

Mkuu hao wanahitaji maombi ya nguvu, hiyo hilo pepo la roho mtaka vitu liwatoke.
 
Rudia kusoma nilichoandika
"Upper Room" redirects here. For other uses, see Upper Room (disambiguation).

This article is about the location of the Last Supper. For the Parisian literary group, see Cénacle.
The Cenacle (from Latin cenaculum), also known as the "Upper Room", is a room in Jerusalem traditionally held to be the site of The Last Supper. The word is a derivative of the Latin word cena, which means dinner. In Christian tradition, based on Acts 1:13,[SUP][1][/SUP] the "Upper Room" was not only the site of the Last Supper (i.e. the Cenacle), but the usual place where the Apostles stayed in Jerusalem, and according to the Catholic Encyclopedia[SUP][2][/SUP] "the first Christian church".

Mkuu ilipofanyika last supper, hapana uhusiano na White Sands au Kempinski, not then , not now or ever!!!
 
Mchungaji nisiyetaka kumtaja, maana wachangiaji watasema nina kidomodomo, jana ameagiwa na Baraza Lake kwenye hoteli ya kitalii, White Sands!
Hii ni baada ya kupata uhamisho.

Mimi sijui kama ni matumizi sahihi ya aidha sadaka au hata kama kuna uchaji , maana kimaadili hili si sawa kabisa.
Itafika siku basi washarika wataitwa Kempinski kwa shughuli za kikanisa.

Wadau tupeni maoni kwa kitendo hiki, pengine miye ni mshamba tu, mwishowe tutapiga injili gesti!!!

Naifananisha na story hii....
Yohana 12

2-Wakamwandalia karamu; na Martha akawahudumia. Lazaro alikuwa miongoni mwa wageni waliokaa mezani pamoja na Yesu.-3-Kisha Mariamu akachukua chupa yenye manukato ya thamani kubwa akayamimina miguuni mwa Yesu na kuipangusa kwa nywele zake. Nyumba nzima ikajaa harufu ya manukato.-4-Ndipo Yuda Iskariote, mmoja wa wanafunzi, ambaye baadaye alimsaliti Yesu, akasema,-5-“Kwa nini manukato haya hayakuuzwa zikapatikana fedha nyingi wapewe maskini?”-6-Yuda alisema hivi si kwa kuwa aliwajali sana maskini bali kwa kuwa alikuwa mwizi.
 
"Upper Room" redirects here. For other uses, see Upper Room (disambiguation).

This article is about the location of the Last Supper. For the Parisian literary group, see Cénacle.
The Cenacle (from Latin cenaculum), also known as the "Upper Room", is a room in Jerusalem traditionally held to be the site of The Last Supper. The word is a derivative of the Latin word cena, which means dinner. In Christian tradition, based on Acts 1:13,[SUP][1][/SUP] the "Upper Room" was not only the site of the Last Supper (i.e. the Cenacle), but the usual place where the Apostles stayed in Jerusalem, and according to the Catholic Encyclopedia[SUP][2][/SUP] "the first Christian church".

Mkuu ilipofanyika last supper, hapana uhusiano na White Sands au Kempinski, not then , not now or ever!!!

Achana na google...bible iko clear haikuwa hekaluni..
kwa hiyo inaweza kuwa sehemu yoyote nje ya kanisa au hekalu..

Narudia wangefanyia Kempinski ingefaa zaidi coz White Sands ishachuja
 
...cha ajabu nini sasa, mbona hotel za kitalii ni za kawaida tu. ungesema kaagiwa baa au ikulu ningepata mstuko...
Jamanii hotel ninii mlitakaagiwe. Bar,, nduguzqnguni hotelzabeach walamsiogope msisubiri wathunguwaje no sh17,000 msosi,,ukienda zilepwanizingine nabotî bukukumi tu,akunajipya sasahuyomchungaji katumikiawangapi kakusanyash ngapimpaka anaondoka wasimpeleke huko siewetu wanaagwa bagamoyo basizimalinajaa washarika tunachukua hotel nzima kumtukuza Mungu memayanchiduniani mpwa. Zab 105;15 don't touch ma annointings
 
Umefunika mkuu!!
 
Wanaita hotel za kitalii kaka, watu waingiwa uoga.
 
Achana na google...bible iko clear haikuwa hekaluni..
kwa hiyo inaweza kuwa sehemu yoyote nje ya kanisa au hekalu..

Narudia wangefanyia Kempinski ingefaa zaidi coz White Sands ishachuja
Soma vizuri na wewe uelewe maana ya hiyo quote.
Mfano wa kufanyia hafla ya kikanisa Kufanyia Kempinski ni kutimiza tamaa zako tu, maana mwisho utaagiza bendi na wanakwaya wanenguaji wa hafla.
Sasa ukiniuliza kwani kunatatizo gani hapo sitakuwa najibu la kuridhisha moyo wako.
 
Umefunika mkuu!!
mpwaupo nikouganda kidogo nakulamema ya eden bana huyu anashangaa mchungaji kuagwa hotelini sasawasharika wako hotel zanje kwanini tusichange. Akaagwe hotelini tenawamechemsha waendebeach nxtym
 
Soma vizuri na wewe uelewe maana ya hiyo quote.
Mfano wa kufanyia hafla ya kikanisa Kufanyia Kempinski ni kutimiza tamaa zako tu.

piddy ameuliza..ulitaka wafanyie Bar?

The Lord himself hakufanyia karamu hekaluni meaning believers can feast wanapoona panafaa kwa wakati huo...

Kama issue yako ni gharama go and get the facts right...remember hotels at times offer fair group packages. Weye kariri hotel za kitalii

Ume Google lakini umeshindwa kuelewa upper room walo feast last supper sio same upper room waloshukiwa na Roho Mtakatifu.
 
Last edited by a moderator:
mpwaupo nikouganda kidogo nakulamema ya eden bana huyu anashangaa mchungaji kuagwa hotelini sasawasharika wako hotel zanje kwanini tusichange. Akaagwe hotelini tenawamechemsha waendebeach nxtym
Mi ndo mtoa mada mkuu, na nimetoka kapa.
Nakupa mji wa Jinja!!!
 
piddy ameuliza..ulitaka wafanyie Bar?

The Lord himself hakufanyia karamu hekaluni meaning believers can feast wanapoona panafaa kwa wakati huo...

Ume Google lakini umeshindwa kuelewa upper room walo feast last supper sio same upper room waloshukiwa na Roho Mtakatifu.
Ndo maana nakuomba nawe ushukiwe na Roho Mtakatifu ukiwa White Sands, au Kempimski mkuu!!
Ukirudi usharikani hakika washarika wako watakupongeza.
 
Ndo maana nakuomba nawe ushukiwe na Roho Mtakatifu ukiwa White Sands, au Kempimski mkuu!!
Ukirudi usharikani hakika washarika wako watakupongeza.

Hahahaaa....Roho Mtakatifu hachagui wapi akushukie.
You can be filled with the Spirit of God hata ukiwa kwenye bus.
 
Hahahaaa....Roho Mtakatifu hachagui wapi akushukie.
You can be filled with the Spirit of God hata ukiwa kwenye bus.
Mi sidhani kama utashukiwa na Roho Mtakatifu ukila mnofu wa nyama na kushushia na mvinyo, huko White Sands au Kempinski mkuu.
Waweza kupaaliwa!!
 
nahisi wewe ni mwinjilisti una bifu na wachungaji maana thread zako zote huwa ni kukandia wachungaji hasa hasa wa KKKT,
Hapana mimi ni msharika wa kawaida kabisa na muumini wa kanisa letu pendwa la KKKT.
Ila nawashukuru sana wachangiaji kwa kuchangia morality ya ISSUE yenyewe na si kutaja majina.
Hii imeleta focus ya kuliona kwa upana wake tendo lenyewe na si mtu au watu.
 
jidu la mabambasi hakuna ajabu yoyote hapo. wenye hoteli ni waumini wa kanisa na wametoa ofa ya ukumbi kwa ajili ya kumuaga mchungaji wao. wewe unarukia sadaka na uchaji..injili inahubiriwa kila mahali hata gesti ili ikawakomboe waliopotea

wewe unauhakika gani kama wenye hoteli ni waumini wake na wametoa ukumbi bure?
 
Naifananisha na story hii....
Yohana 12

2-Wakamwandalia karamu; na Martha akawahudumia. Lazaro alikuwa miongoni mwa wageni waliokaa mezani pamoja na Yesu.-3-Kisha Mariamu akachukua chupa yenye manukato ya thamani kubwa akayamimina miguuni mwa Yesu na kuipangusa kwa nywele zake. Nyumba nzima ikajaa harufu ya manukato.-4-Ndipo Yuda Iskariote, mmoja wa wanafunzi, ambaye baadaye alimsaliti Yesu, akasema,-5-"Kwa nini manukato haya hayakuuzwa zikapatikana fedha nyingi wapewe maskini?"-6-Yuda alisema hivi si kwa kuwa aliwajali sana maskini bali kwa kuwa alikuwa mwizi.
Mfano wako unakosa relevance na pengine ni kufuru ya aina yake!
unajaribu kum elevate mtu kuwa katika position ya Yesu Kristo, thats blasphemy!
Pili , suala hapa ni matumizi ya sadaka ambayo nina hakika haikuwa dedicated kwa matumizi mahotelini, tofauti na Mariamu aliyetoa mafuta ghali, mahsusi kutoka moyoni ili kumpaka Bwana wetu Yesu Kristo.

Logic ya Neno hilo ni kubwa sana na tofauti na unavyotaka kulipotosha.
Na unajua vuzuri hiyo ndio sifa kubwa ya yule mfalme wa uongo.
 
angalia sana mleta uzi, kama sio laana inakutafuta basi, itakuwa inakusumbua.
Angalia yasije yakakukuta kama yaliyo mkuta ghadafi.
kuwa makn na watumishi wa MUNGU
 
angalia sana mleta uzi, kama sio laana inakutafuta basi, itakuwa inakusumbua.
Angalia yasije yakakukuta kama yaliyo mkuta ghadafi.
kuwa makn na watumishi wa MUNGU

Asante kwa ushauri mzuri na nitauzingatia, ingawaje msimamo wangu na wa Gadafi ni vitu viwili tofauti,
Huu ndo mwisho wa mada
 
Back
Top Bottom