Maajabu: Mchungaji aagiwa kwenye hoteli ya kitalii!

Maajabu: Mchungaji aagiwa kwenye hoteli ya kitalii!

Mfano wako unakosa relevance na pengine ni kufuru ya aina yake!
unajaribu kum elevate mtu kuwa katika position ya Yesu Kristo, thats blasphemy!
Pili , suala hapa ni matumizi ya sadaka ambayo nina hakika haikuwa dedicated kwa matumizi mahotelini, tofauti na Mariamu aliyetoa mafuta ghali, mahsusi kutoka moyoni ili kumpaka Bwana wetu Yesu Kristo.

Logic ya Neno hilo ni kubwa sana na tofauti na unavyotaka kulipotosha.
Na unajua vuzuri hiyo ndio sifa kubwa ya yule mfalme wa uongo.

Hahahaa

Wala hukuiona point ndio maana umesema hakuna relevance.

Unavyolalamika farewell party kufanyikia hotelini ni kana kwamba una mzigo mkubwa sana wa injili ama una huruma sana kwa maskini....inaweza kuwa wivu tu na husuda zilizojaa makanisani..
Yuda nae alilalamika kwa kigezo cha matumizi mabaya ya sadaka (gift) alotoa Mariam kwa kisingizio cha kujali maskini..

In deed that is not elevating the pastor in question in position of Jesus Christ.....lakini kumbuka anasema "je sikuwaita ninyi miungu"??
 
Mi sidhani kama utashukiwa na Roho Mtakatifu ukila mnofu wa nyama na kushushia na mvinyo, huko White Sands au Kempinski mkuu.
Waweza kupaaliwa!!

Hahahahaa masopakyindi umenichekesha mzee...eti waweza kupaaliwa wakati ukigonga mvinyo na mnofu wa nyama!

He is omni present though!
 
Last edited by a moderator:
kirusoo kwa kuwa wewe umenihakikishia kuwa wamefanya tafrija ya kumuaga kiongozi wao hotelini basi nami nakuhakikishia kuwa mmiliki wa hoteli hiyo ni muumini wa kanisa hilo ispokuwa tu kama utanithibitishia kuwa ulisanin vocha na hundi za malipo kuilipa hoteli ukiwa kama mweka hazina. vinginevyo wewe ni mchochezi hufai katika jamii
wewe unauhakika gani kama wenye hoteli ni waumini wake na wametoa ukumbi bure?
 
inavyoonekana hajawahi kuingia hoteli ya kitalii.hata kama ni ya waumini .hakuna hoteli ya kitalii ya kilokole au ya kilutheri . ndani ya hoteli za kitalili ni matendo ya uzinzi.ulevi na maovu mengi halafu unashabikia mchungaji wako kuagiwa humo eti kwa sababu ya waumin.hufai kuwa mkristo
 
punguza uchungu .inavyoonekana hajawahi kuingia hoteli ya kitalii.hata kama ni ya waumini .hakuna hoteli ya kitalii ya kilokole au ya kilutheri . ndani ya hoteli za kitalili ni matendo ya uzinzi.ulevi na maovu mengi halafu unashabikia mchungaji wako kuagiwa humo eti kwa sababu ya waumin.hufai kuwa mkristo
 
kirusoo kwa kuwa wewe umenihakikishia kuwa wamefanya tafrija ya kumuaga kiongozi wao hotelini basi nami nakuhakikishia kuwa mmiliki wa hoteli hiyo ni muumini wa kanisa hilo ispokuwa tu kama utanithibitishia kuwa ulisanin vocha na hundi za malipo kuilipa hoteli ukiwa kama mweka hazina. vinginevyo wewe ni mchochezi hufai katika jamii
inavyoonekana hujawahi kuingia hoteli za kitali humo hamna meza ya bwana.hizo ni sehemu za walevi na wazinzi hatakama ni ya muumini.halafu wewe unashabikia upuuzi .tafakari imani yako ina mushekili
 
Naifananisha na story hii....
Yohana 12

2-Wakamwandalia karamu; na Martha akawahudumia. Lazaro alikuwa miongoni mwa wageni waliokaa mezani pamoja na Yesu.-3-Kisha Mariamu akachukua chupa yenye manukato ya thamani kubwa akayamimina miguuni mwa Yesu na kuipangusa kwa nywele zake. Nyumba nzima ikajaa harufu ya manukato.-4-Ndipo Yuda Iskariote, mmoja wa wanafunzi, ambaye baadaye alimsaliti Yesu, akasema,-5-“Kwa nini manukato haya hayakuuzwa zikapatikana fedha nyingi wapewe maskini?”-6-Yuda alisema hivi si kwa kuwa aliwajali sana maskini bali kwa kuwa alikuwa mwizi.

karamu hiyo ilifanyika hotelini ya kifahari au wapi.swala kutolewa kwa vitu vya thamani sio tatizo.tatizo ni wapi ilitanyika
 
imani yangu ina mushkeli kwa kuwa tuu ninapingana nawe. meza ya bwana ipo popote pale walipo kondoo wa bwana na amesema atapita popote...hoteli za kitalii si tu zinaweza kuendesha ibada bali pia zinaweza ku-host tafrija au shughuli za kidini kwani zinaweza kupangiliwa hivyo
inavyoonekana hujawahi kuingia hoteli za kitali humo hamna meza ya bwana.hizo ni sehemu za walevi na wazinzi hatakama ni ya muumini.halafu wewe unashabikia upuuzi .tafakari imani yako ina mushekili
 
karamu hiyo ilifanyika hotelini ya kifahari au wapi.swala kutolewa kwa vitu vya thamani sio tatizo.tatizo ni wapi ilitanyika

Mlitaka ifanyikie wapi???

Ndo yale yale ya Yuda kulalamika gharama kubwa imetumika wakati wangepewa maskini kumbe unafiki tu na sioni tofauti na hoja hii!!!
 
inavyoonekana hujawahi kuingia hoteli za kitali humo hamna meza ya bwana.hizo ni sehemu za walevi na wazinzi hatakama ni ya muumini.halafu wewe unashabikia upuuzi .tafakari imani yako ina mushekili

Hao hao wazinzi na walevi ndio wamejaa makanisani....very very low
 
Back
Top Bottom