Apologise lady
JF-Expert Member
- Sep 16, 2013
- 5,980
- 3,115
Mchungaji nisiyetaka kumtaja, maana wachangiaji watasema nina kidomodomo, jana ameagiwa na Baraza Lake kwenye hoteli ya kitalii, White Sands!
Hii ni baada ya kupata uhamisho.
Mimi sijui kama ni matumizi sahihi ya aidha sadaka au hata kama kuna uchaji , maana kimaadili hili si sawa kabisa.
Itafika siku basi washarika wataitwa Kempinski kwa shughuli za kikanisa.
Wadau tupeni maoni kwa kitendo hiki, pengine miye ni mshamba tu, mwishowe tutapiga injili gesti!!!
Ni nani mwenye haki yakuagiwa hotel kubwa kubwa, kahaba, kibaka,wezi au????????????????????? Wacha watumishi wa Mungu watumie nao hizo sehemu, kwanini mnapenda ubaguzi hivo??????. si vizuri.
Tena wewe kweli mshamba, unaonekana unafananisha HOTEL na GUEST.