Bry N
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 691
- 724
Tangu na kabla ya Kupata uhuru Wananchi wamekua wakilipa kodi..
Kodi hiyo imeanzishwa kwa sheria kama siyo wizi tu?
Kodi ikilipwa mkiulizwa ilipo 1.5Trilioni ya hizo kodi mnawaka....
Kwani si kimetolewa na mamlaka husika ambazo zinatambulika! utapeli uo vipi sasa?Kitambulisho kisicho na personal information zozote ni white collar utapeli....
Besides....hatunaga continuity kuzungumzia long term plans related to the vitambulishos, akija mwingine atakuja na sanaa zake...
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiki kitambulisho mbona kinakuwa kama dili za mpinga kristo..itabidi wakina gwajima waitishe maombi ya amani..Hii serikali imezoea kuvunja sheria. Wito wangu kwa wananchi wa Dar, watumie mbinu za kibongo kupata vitambulisho hata kama ni feki, alimradi uwe nacho. Muwe pia mnafaulisha hivi vitambulisho. Msako ukiwa mahali na wewe unacho, basi mpatie huyu asiyenacho kwa muda huo aue hilo soo la msako. Msako ukimalizika chukua kitambulisho chako usepe zako.
Mbona TRA miaka yote wanapanga, wanashindwa nini kujenga wakati wao ndio wanakusanya kodi!
Hapo nimeelewa kumbe ni kodi ya kichwa imerudi sio mbayaHii sasa ni kodi ya kchwa merudi kwa njia ya kijanja.na VAT bado iko pale pale
Sent using Jamii Forums mobile app