Maajabu: Kichwa cha treni kilichookotwa bandarini ndio kimepata ajali Kigoma. Hivi kumbe walishanunua kimya kimya?

Kutokujua wewe kama walishanunua haina maana kuwa hawajasema kama walinunua.

Kuna mtu anaweza asijue kuwa kuna Dar es Salaam hapa duniani lakini haina maana kuwa haipo au haitangazwi kama ipo.

Tumia hata common sense katika fikra zako.

Pitia hii thread kuhusu tamko la serikali mwezi Oktoba 2017;

LINK>>>Vichwa 15 vya Treni Kununuliwa na Serikali
Wakikusanyika mapoyoyo wengi sehemu fulani..
Wewe lazima utakuwa kiongozi wao..
Empty-headed.
 
Ndio maana unashadadia, kumbe huoni tatizo liko wapi.....ndio Haya ya ununuzi wa ndege, Ujenzi wa uwanja wa ndege Chato etc. ukiuliza tender ilitangazwa na kushindanishwa lini unaitwa mchochezi. Halafu mburula wewe huoni shida iko wapi, Duh!
Nani alikudanganya kuwa kila tenda lazima ishindanishwe?

Ni wapi sheria ya manunuzi inasema KILA tenda lazima ishindanishwe?

Haya ndio matatizo ya kukalili maneno!
 
Kutokujua wewe kama walishanunua haina maana kuwa hawajasema kama walinunua.

Kuna mtu anaweza asijue kuwa kuna Dar es Salaam hapa duniani lakini haina maana kuwa haipo au haitangazwi kama ipo.

Tumia hata common sense katika fikra zako.

Pitia hii thread kuhusu tamko la serikali mwezi Oktoba 2017;

LINK>>>Vichwa 15 vya Treni Kununuliwa na Serikali
Walivinunua kwa nani?
 
Wewe kuandika tu kwa ufasaha ni majanga, utaweza kupambana na mimi kwa kutumia nguvu ya hoja?

Hawezi na hawajui watu wasiojulikana huko Lumumba na Magogoni watakavyomfanyia au kumteka.Return Of Undertaker Ogopa sana CCM unataka tukuokote Coco Beach kabla ya tarehe 26 mwezi wa 4?
ccm.jpg
 
Kichwa changu hicho jamani...hv walinunua kwa nani? Hvyo vichwa?
 
Kutokujua wewe kama walishanunua haina maana kuwa hawajasema kama walinunua.

Kuna mtu anaweza asijue kuwa kuna Dar es Salaam hapa duniani lakini haina maana kuwa haipo au haitangazwi kama ipo.

Tumia hata common sense katika fikra zako.

Pitia hii thread kuhusu tamko la serikali mwezi Oktoba 2017;

LINK>>>Vichwa 15 vya Treni Kununuliwa na Serikali
kaka acha ushabiki usio na faida hivi kwa akili ya kawaida unanuaje kitu ambacho hakina mwenyewe! wangesema serikali ina taifisha vichwa vya treni ambavyo havina mwenyewe ingeeleweka sasa unaponunua unamlipa nani?? huku kitu hakina mwenyewe.
kwa nini nyie wana CCM mnapenda kulazimisha watu wote kuwa wajinga kama nyie
 
Back
Top Bottom