Maajabu: Kichwa cha treni kilichookotwa bandarini ndio kimepata ajali Kigoma. Hivi kumbe walishanunua kimya kimya?

kaka acha ushabiki usio na faida hivi kwa akili ya kawaida unanuaje kitu ambacho hakina mwenyewe! wangesema serikali ina taifisha vichwa vya treni ambavyo havina mwenyewe ingeeleweka sasa unaponunua unamlipa nani?? huku kitu hakina mwenyewe.
kwa nini nyie wana CCM mnapenda kulazimisha watu wote kuwa wajinga kama nyie
Wewe ndiye hujui hata unachokiandika.

Kwa kukusaidia huwezi kutaifisha kitu ambacho hakina mwenyewe. Unataifisha kitu ambacho kina mwenyewe.

Kwa mfano, ukiokota kitu barabarani huwezi kusema ninakitaifisha kwa sababu nimekiota barabarani.

Nani amekulazimisha kuwa mjinga?
 
unawezaje kununua kitu ambachi hakina mwenyewe? unakuwa una mlipa nani?
 
Kutokujua wewe kama walishanunua haina maana kuwa hawajasema kama walinunua.

Kwa mfano, kuna mtu anaweza asijue kuwa kuna Dar es Salaam hapa duniani lakini haina maana kuwa haipo au haitangazwi kama ipo.

Tumia hata common sense katika fikra zako.

Pitia hii thread kuhusu tamko la serikali mwezi Oktoba 2017;

LINK>>>Vichwa 15 vya Treni Kununuliwa na Serikali
Tuwekee na tangazo la tender ya kununua hizo substandard locomotive engine
 
Kampuni inaitwa Electro Motive Diesel kutoka Marekani.

Kwa hiyo vichwa vya treni vimeandikwa TRL, halafu Magufuli anasema havina mwenyewe? Sasa hao Electro Motive Diesel, ndiyo walikuwa wamiliki mpaka vilipoletwa Tanzania? Yaani walileta vichwa vilivyoandikwa TRL, halafu wakaendelea kuwa wamiliki. Kisha Rais akasema mmiliki hajulikani. Halafu, serikali ikanunua vichwa hivyo kutoka kwa Electro Motive Diesel.

Ina maana hao Electro Motive Diesel, walileta hivyo vichwa kwa gharama zao wenyewe hadi Bandarini, wakisubiria bahati itokee serikali ivinunue?

Kama vilinunuliwa toka awamu iliyopita, ilikuwa Magufuli adanganye umma kwamba havina mwenyewe? Yaani havina mwenyewe ilhali vina nembo ya TRL?
 
Ulichofanya hapa ni kuuliza maswali halafu ukajibu wewe mwenyewe.

Maswali ambayo hukujipu siwezi kutoa majibu kwa sababu unaweza hata kutumia komoni sensi kupata majibu labda kama komoni sensi kwako haipatikani!
 
Kutokujua wewe kama walishanunua haina maana kuwa hawajasema kama walinunua.

Kwa mfano, kuna mtu anaweza asijue kuwa kuna Dar es Salaam hapa duniani lakini haina maana kuwa haipo au haitangazwi kama ipo.

Tumia hata common sense katika fikra zako.

Pitia hii thread kuhusu tamko la serikali mwezi Oktoba 2017;

LINK>>>Vichwa 15 vya Treni Kununuliwa na Serikali
Ukweli unaumaee!
 
Utaratibu wa manunuzi ni upi?

Weka hapa huo utaratibu ili tuone jinsi ambavyo umekiukwa kwa sababu kuna uwezekano umekalili tu neno ''utaratibu wa manunuzi''.

Mkuu ni lazima ujue vifungu vya manunuzi vinasemaji ili kujua jambo limefanyika kinyume cha taratibu. Kwa mfano mimi najua kubaka ni kosa la jinai la adhabu yake ni miaka 30, lakini sijui ni kifungu gani cha sheria kinasema hiyo adhabu. Hivyo tafuta utetezi mzuri, huu kwa kiwango chako ni utetezi mwepesi mno.
 
Back
Top Bottom