Maajabu kabisa mwanamke anyofolewa ulimi

Emma M Bai

Senior Member
Joined
Feb 11, 2019
Messages
175
Points
250

Emma M Bai

Senior Member
Joined Feb 11, 2019
175 250
CHANZO;
VOICE OF AMERIKA (VOA)
Mwanamke mmoja nchini Shinyanga amenyofolewa ulimi wake baada ya kukataa kufanya mapenzi na bwana mmoja!
Chanzo bwana huyo alimuomba amsindikize kama mgeni ndipo walipofika njiani bwana mkubwa akamdokeza jambo;
Bibie nipe mambo kidogo mama huyo akakataa kata kata ndipo bwana mkubwa na yeye ili lengo lake litimie na kutokana na akili yote imehamia chini akamshika kwa nguvu mama huyo na kuanza kumnyonya mdomo ndipo ulimi wa mama huyo nao ukakatika

Na ndipo bwana mkubwa kuona maji yamezidi unga akaangalia ustaarabu mwingine
Maelezo haya aliyatoa mama akiwa hospitali kwa kuandika kwenye karatasi huku hawezi kuongea tena na kamanda wa jeshi la polisi kuweza kuu habari sha umma maajabu kabisa
Dakitari wake alisema ulimi huo hata kama utasafishwa haitawezekana kuushona, labda auguze kidonda akipona ndo basi kuongea!!

Ombi langu kwenu wabongo;
Tuache kuiga mambo ya wenzetu unamkubalia mtu si mtu mpigane denda kumbe mwenzako hajui anakung'ata lips za mdomo na ulimi utafanyaje

>>>> Tupeane uzoefu unatumia njia zipi kujiepusha na tatizo kama hili>>>
Utanzania kwanza
Habari hizi chanzo sauti ya Amerika kwenye mambo na vijimambo
Mtangazaji wa zamu
Kenesy Bwire
 
Acehood

Member
Joined
Oct 1, 2018
Messages
74
Points
125

Acehood

Member
Joined Oct 1, 2018
74 125
CHANZO;
VOICE OF AMERIKA (VOA)
Mwanamke mmoja nchini Shinyanga amenyofolewa ulimi wake baada ya kukataa kufanya mapenzi na bwana mmoja!
Chanzo bwana huyo alimuomba amsindikize kama mgeni ndipo walipofika njiani bwana mkubwa akamdokeza jambo;
Bibie nipe mambo kidogo mama huyo akakataa kata kata ndipo bwana mkubwa na yeye ili lengo lake litimie na kutokana na akili yote imehamia chini akamshika kwa nguvu mama huyo na kuanza kumnyonya mdomo ndipo ulimi wa mama huyo nao ukakatika
Na ndipo bwana mkubwa kuona maji yamezidi unga akaangalia ustaarabu mwingine
Maelezo haya aliyatoa mama akiwa hospitali kwa kuandika kwenye karatasi huku hawezi kuongea tena na kamanda wa jeshi la polisi kuweza kuu habari sha umma maajabu kabisa
Dakitari wake alisema ulimi huo hata kama utasafishwa haitawezekana kuushona, labda auguze kidonda akipona ndo bas kuongea!!
Ombi langu kwenu wabongo;
Tuache kuiga mambo ya wenzetu unamkubalia mtu si mtu mpigane denda kumbe mwenzako hajui anakung'ata lips za mdomo na ulimi utafanyaje
>>>> Tupeane uzoefu unatumia njia zipi kujiepusha na tatizo kama hili>>>
Utanzania kwanza
Habari hizi chanzo sauti ya Amerika kwenye mambo na vijimambo
Mtangazaji wa zamu
Kenesy Bwire
Jamaa atakua muuza kitimoto kashazoea kutafuna vinyama vikiingia kwa mdomo yake.

Dah hilo denda ntajarbu kwa manzi angu nione how it feels kung'atana.
 
Forum statistics

Threads 1,344,254
Members 515,354
Posts 32,812,889
Top