jisome
Senior Member
- Sep 29, 2017
- 108
- 94
Jaman Jana nilienda kijijiflan kutembelea ndugu ila maajabu nilio kutana nayo nikama hivi ,,,, kuna kimlima flan hivi kipo kijijini hapo ambacho ukifikapo rangi ya ngozi ya mwili wako inabadilika nakuwa njano ila ukisha vuka sehem hiyo unarudi kwenye rangi yako ya kawaida kiukweli ni moja ya maajabu ambayo nimeona Mara ya kwanza kabisa kama kuna wataalam naomba mnisaidie kunitia ushamba hali hii inasababishwa na nini naomba kuwasilisha