Maajabu Jamani Duh!!

Hadi itokee ndio nitajua cha kufanya..

""...IF PIANO IS OUT OF TUNE, THE MUSICIAN WILL FAIL, NO MATTER HOW MUCH OF A MUSICIAN HE MAY BE...""
 
Kiongozi! Mbona mimi si ishi Duniani! Sijui hata mwaka gani huu. Huku nilipo hakuna usiku wala mchana.
 
Swali kwako mwenye thread, hivi dunia unaionaje.?
maswali kama haya mara nyingi wanauliza watu wenye ulemavu wa macho(vipofu),nadhani wewe ni kati ya hao vipofu nimeshajua tayari.
 
Haya lijibu. msaidie mlemavu, si ushaelewa tayari.
maswali kama haya mara nyingi wanauliza watu wenye ulemavu wa macho(vipofu),nadhani wewe ni kati ya hao vipofu nimeshajua tayari.
 
Hivi Ikitokea Siku Umelala Usiku Mzima Kuja Kuamka asubuhi Unatoka Nje Dunia Huioni Hivi Utafanyaje??.
Mimi Binafsi Narudi Zangu Ndani Tu Naaza Kulia.
Nimeamini kweli kuwa Wanawake ni dhaifu! unalia?

Mwanaume ndiyo kwanza anafurahia maajabu ya uvumbuzi wa aina yake! mwanaume atakimbilia kamera apate tukio halisi!

Anajua utajiri huooooooo! ataandika ma-volume na ma-volumes ya vitabu. u- tube atazi-keep busy Dunia nzima iliyotoweka! Pia ataamini Mungu anampenda kumpa ulaji ki ubwete!
 
tunasema tu! Mnakumbuka issue za new millenium ? Yaani tulipokuwa tunaingia mwaka 2000 kutoka 1900. Nilikuwa Arusha basi maneno Mengi yalikuwa yakizungumzwa wataalam wakitudanganya kwamba computer zitavamiwa na millenium bug na hazitafanya kazi tena! Pale Sekei watu wanadanganyana eti mlima Meru utakuwa covered na theluji Kama Kilimanjaro.
Issue kubwa ilitokea Moshi mjini siku ya mkesha wa mwaka mpya. YMCA club wana yale mataa yanamulika juu sasa siku hiyo wakaanza mambo mapema Kama saa nne hivi usiku mataa si yanamulika anga basi raia kuona mawinguni mwanga unatokea unapotea daaah watu waligonga kengele makanisani watu mbiooo makanisani Yesu anarudi. Kumbe vidosho na bwana zao wanakula bata pale YMCA. mie nawaaambia kuwe giza dk tano tu saa sita mchana tutapoteza Watu wengi sana including mtoa mada hahaha
 
2002

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom