China inatarajiwa hivi karibun kukumbwa na hali ya baridi kali katika kipindi hiki cha masika licha ya hayo yote kumetokea vitu vya kuastaajabisha kutokana na watu mbalimbali nchini humo kufanya michezo ya hatari kwenye barafu iliyoganda
Mwanamke akiogolea kwenye mto Songhuajiang ulioganda kwa barafu
wanajeshi wakifanya mazoezi kwa kutumia barafu
jamaa akicheza bao akiwa ndani ya box lililojaa barafu