Maajabu haya ya nywele

Weka vyeti

Sent from my itel it1355 using JamiiForums mobile app
 
Mbona haiendelei au unasubiri mida yako ya wanga Giza nene
Aaah bwana eeh jana si nikatoa loku na ile haramu mpya kwa mama Batuli! Mida ya wanga imenipita wima
 
Nimepata tetesi kwamba umekodishwa kuanzisah nyuzi za kutisha ili kuwasahaulisha watu na suala la vyeti vya mtu, je tetesi hizi ni kweli...!!?? Kama siyo kweli hebu toa maelezo kidogo kuhusu uhalali wa mtu kulipwa mshahara au kuapa kwa jina la mtu mwingine...!!@Mshana
 
[emoji23] [emoji23] [emoji115]
 
Wadada wapenda wigi sijui brazilian wenyewe wanasema original,haijalishi kuwa mtu yupo hai au marehem as long as unatumia nywele zake ujue tu una shida
 
Watakuja tu kuelewa siku moja!
Bora basi nyoa tu km huna nywele
 
Nywele zinatumika sn kwny giza pia,madhabahu za kifamilia nako ni balaa ,waambie hivi wawaulize mama/bibi zao walipowanyoa nywele za uchanga walizipeleka wapi?
 
kama zinaendelea kukua mbona kuna yale mafuvu yakifukuliwa bahati mbaya huwa vipara tu?
nilitegemea nione na nywele nyingi kinoma,,
sasa huwa zinaenda wapi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] eti kichaa akinyolewa ana kuwa na nafuu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…