Maajabu haya ya nywele

bora uwaambie mana nikisema mimi utasikia oooh mabahili upend kumtunza mpenzi wako kumbe na epuka mambo kama haya nampenda ndo mana mambo ya mawig wig haya hakuna

ila mkuu kuna wanawake wengine manunda ukimwambia ivyo anakwambia sio mbaya akapata majini ya kizungu
 

Za kupandikizwa za mchezaji Romney tuziiteje
 
kwaiyo unatushaurije? tufuge nywele au tuwe vipara kama kikeke.
 
Mshana uko dodoma kwenye mkutano mkuu wa ccm? Wenzio wengi nawaona huku,wamekesha wanarekebisha ukumbi kwa kuwapiga watu usembe wasiwe wakorofi mkutanoni
 
Mshana uko dodoma kwenye mkutano mkuu wa ccm? Wenzio wengi nawaona huku,wamekesha wanarekebisha ukumbi kwa kuwapiga watu usembe wasiwe wakorofi mkutanoni
Nilikuwepo kwa mwaliko maalum


Ooh sorry wrong sent msg[emoji125] [emoji125] [emoji125] pls delete
 
Mbona haiendelei au unasubiri mida yako ya wanga Giza nene
 
Wana taaluma wanasema nywele zinashabihana na mifuko ya rambo
 
Mshana Jr kwa hapo nimekukubali, nyongeza chifu mkuu hawezi kuongea na mizimu kwa niaba ya jamii akiwa na upara yaani kanyoa zungu. Nywele zina matereal yaliyotengeneza plastiki ndiyo maana haziozi.
 
Hivi huyu jamaa ni mganga au mchawi maana nimekuwa nikipitia post zake nyingi , yaani ni mambo ya elimu dunia tu,

Japo nyingine zinafundisha na nyingine vijui ,,ila pia nachokiona anajaribu kuonyesha mila za waafrika walipo toka na jinsi walivyo weza kupambana na mazingira yao kwakutumia imani zao hizi,

Ila swali langu sasa ni kwamba je huyu mshana jr, ni mganga au mchawi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…