Maajabu haya ya nywele

[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] mkuu ongezea maelezo mengine ya kutisha kuhusiana na hizi nywele za kununua ili hao wanao tumia waogope kutwambia tuwanunulie.

~Nimetumwa na wanaume wasiopenda ujinga.
 
Kazi IPO unakuta MTU anakaa na nywele miezi 3 sasa kwann majin yasikufuate huko[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Hizi mambo zipo Africa tuu!!
huko asia na Brazil ni biashara kufuga zikiwa ndefu unaziuza unafuga tena
Ni kama biashara ya kuku wa mayai tuu!
 
Uwiiiiiiiii wigi zile human hair bei yake pasua kichwa [emoji28] [emoji2] kumbe tunajialikia matatizo wenyewe kwa bei kuubwaaaa... Heri dread
 
Wanyumbani leo lusekelo bado yupo kichwani hakika, maana hii mada kama ya kichochezi vile.
Hebu ngoja nizimue nakuja. Usisahau kuniita nikisahau.
 
Leo nakuunga mkono mathalan hoja ya mwisho [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]
 
Kwa mantiki ya hiyo point ya mwisho..Kuna watu humu jf wanahitaji kunyolewa nywele
 
Mkuu huu uzi umenikimbusha mbali.Enzi hizo nilikuwa siwezi kuandika nywele naandika "nyele"! Utoto raha.
 
kweli kazi ipo zote hizi ni njia za kuwahimiza mpunguze mizinga ya saloon ila hamtuelewiii
 
kama zinaendelea kukua mbona kuna yale mafuvu yakifukuliwa bahati mbaya huwa vipara tu?
nilitegemea nione na nywele nyingi kinoma,,
sasa huwa zinaenda wapi?
Hivi haukusoma biology mkuu,nywele zinaotea kwenye ngozi sio fuvu,sasa fuvu litakuwaje na nywele?
 
Wanyumbani leo lusekelo bado yupo kichwani hakika, maana hii mada kama ya kichochezi vile.
Hebu ngoja nizimue nakuja. Usisahau kuniita nikisahau.
Kanywe ledi bluu medulla itakaa Sawa [emoji23] [emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…