Maajabu! Arusha kuna nabii ana makadinali

Maajabu! Arusha kuna nabii ana makadinali

Huku mimi nawaombea tuu Mungu awape ufahamu wa kiroho....

Sitaki nicomment zaidi....
 
Biblia inasema wala msimwite mtu baba na hakuna binadamu mtakatifu wote wana dhambi.kwani hujui kwamba jamaa ni msanii? Nenda google kisha search satanic symbols utakuta jamaa ni illuminant mkubwa.tena ana chata kwenye vazi.
Mzazi wako wa kiume wewe unamuitaje? Usisome biblia Kama unavyosoma gazeti la udaku
 
jamaa anawatetezi balaaaaa..... ukisikiliza NYU utabaini GieoDevie ni zaidi ya Mungu kwa waumini wake....
 
Wakuu,,,

Nikiwa nimejipumzisha home huku nikitafuta steshen murua ya Radio ili kusikiliza kusindikiza usiku wangu vyema mara nikakumbana na Radio hii inayoitwa NYU Radio ama (Ngurumo ya Upako Fm )

Kwakuwa nilikuwa sijawahi isikia hii redio kutokana sikuwa nipo Arusha kwa muda mrefu ilibidi ni stop hapo ili kuisikiliza...

Wakati naendelea kusikiliza kulikuwa na kipindi nafikiri cha Ushuhuda mbali mbali kwa waumini wa Nabii Geo Davie....

Basi muumini mmoja akawa anatoa shuhuda zake jinsi alivyo guswa na mahubiri ya Kadinali wa kanisa hilo..
"Yani Fan J natamani Baba, Mh, Dr. Nabii Mkuu Geo Davie angechagua hata Makadinali wengine 10"

Hakika nilistaajabu sana..

My take:
Haya makanisa yaache kuiga hata mambo mengine ambayo hayawahusu...Kwa mtindo huu huyu Nabii karibuni ataanza kujiita Baba Mtakatifu (Papa Geo Davie)...
watu wanajiita mitume unaona hakuna ubaya ila ubaya kujiita baba mtakatifu?
 
Kama Yesu mwenyewe alisema msiite mtakatifu iweje binadamu ajiite mtakatifu?? Nakujibu kwa mujibu wa bible kwamba,HEKIMA YA MWANADAMU NI UPUMBAVU MBELE ZA MUNGU,binadamu kumwita mwenzake mtakatifu ni upumbavu.
Hebu soma waraka wa 1petro:15-16 halafu nambie kuhusu binadamu na utakatifu kwa msaada tu 1petro: 15-16 inasomeka hivi-15 bali kama yeye aliyewaita alivyo mtakatifu, ninyi nanyi iweni watakatifu katika mwenendo wenu wote;
16 kwa maana imeandikwa, Mtakuwa watakatifu kwa kuwa mimi ni mtakatifu. Biblia haiishii hapo soma pia Mt.5:48. “Basi ninyi mtakuwa wakamilifu, kama Baba yenu wa Mbinguni alivyo mkamilifu .” WaLaw.11:44; “ Kwakuwa mimi ni BWANA, Mungu wenu;takaseni nafsi zenu basi; iweni watakatifu, kwakuwa mimi ni mtakatifu; wala msitie uchafu nafsi zenu kwa kitu kitambaacho cha aina yoyote, kiendacho juu ya Nchi. Soma pia Waebrania 12:14 '' Tafuteni kwa bidii kuwa na amani na watu wote, na huo utakatifu, ambao hapana mtu atakayemwona BWANA asipokuwa nao; '' Zipo aya nyingi tu hizo ni baadhi ya zile zinazomfanya anayeishi kwa kumtegemea Mungu kuwa mtakatifu. Biblia haisomwi kwa kukariri kama Mwanafunzi wa kidato cha kwanza anavyokariri " What is Bunsen Burner? kisha yeye anajibu anajibu Bunsen burner is eeheee eee. hapana soma vizuri bible kabla hujaropoka
 
Hata akijiita baba mtakatifu ila sio mtakatifu kwa maana hata huyo anaejiita baba mtakatifu ni msanii tu kama huyo wa Arusha,mtakatifu ni Mungu.

wewe unaumwa ugonjwa unaoitwa NJAA dawa yako ni kula KITIMOTO na kilimanjaro baridi

tatizo huli kitimoto kula kitimoto asee
 
Hata akijiita baba mtakatifu ila sio mtakatifu kwa maana hata huyo anaejiita baba mtakatifu ni msanii tu kama huyo wa Arusha,mtakatifu ni Mungu.
Hebu soma waraka wa 1petro:15-16 halafu nambie kuhusu binadamu na utakatifu kwa msaada tu 1petro: 15-16 inasomeka hivi-15 bali kama yeye aliyewaita alivyo mtakatifu, ninyi nanyi iweni watakatifu katika mwenendo wenu wote;
16 kwa maana imeandikwa, Mtakuwa watakatifu kwa kuwa mimi ni mtakatifu. Biblia haiishii hapo soma pia Mt.5:48. “Basi ninyi mtakuwa wakamilifu, kama Baba yenu wa Mbinguni alivyo mkamilifu .” WaLaw.11:44; “ Kwakuwa mimi ni BWANA, Mungu wenu;takaseni nafsi zenu basi; iweni watakatifu, kwakuwa mimi ni mtakatifu; wala msitie uchafu nafsi zenu kwa kitu kitambaacho cha aina yoyote, kiendacho juu ya Nchi. Soma pia Waebrania 12:14 '' Tafuteni kwa bidii kuwa na amani na watu wote, na huo utakatifu, ambao hapana mtu atakayemwona BWANA asipokuwa nao; '' Zipo aya nyingi tu hizo ni baadhi ya zile zinazomfanya anayeishi kwa kumtegemea Mungu kuwa mtakatifu. Biblia haisomwi kwa kukariri kama Mwanafunzi wa kidato cha kwanza anavyokariri " What is Bunsen Burner? kisha yeye anajibu anajibu Bunsen burner is eeheee eee. hapana soma vizuri bible kabla hujaropoka
 
Huo ni uamuzi tu, hata wewe waweza jiita kadinali hakuna maandiko yaliokataza kujiita hivyo, kama watu wanavyo jiita mitume ndio hivyo hivyo waweza jiita Baba mtakatifu.
Hivi mitume na manabii walijiita au jamii ndiyo iliwaita? Msaada tafadhali.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom