Maajabu! Arusha kuna nabii ana makadinali

Maajabu! Arusha kuna nabii ana makadinali

Chungen sana ndimi zenu wapendwa"mie napta
 
we ni mpuuzi tu na unaongea usiyoyajua hata hyo illuminant huijui,umepunguza heshma yako kutaka kuaminisha watu kwamba google ndiko huandikwa ukweli,Tafuta source nyingine mkuu hayo unayoona google wameandka watu kama wewe.

Kama Yesu mwenyewe alisema msiite mtakatifu iweje binadamu ajiite mtakatifu?? Nakujibu kwa mujibu wa bible kwamba,HEKIMA YA MWANADAMU NI UPUMBAVU MBELE ZA MUNGU,binadamu kumwita mwenzake mtakatifu ni upumbavu.
 
Unaweza tuwekea ushahidi wa picha.ukipata picha ya msafara wake na choper ikiwa angani itakuwa poa zaidi

[link]www.globalpublishers.info/m/blogpost?id=5398006%3ABlogPost%3A2796329[/link]
 
[link]www.globalpublishers.info/m/blogpost?id=5398006%3ABlogPost%3A2796329[/link]

Japo hata mimi simuafiki sana huyo mtume na nabii mkuu.Lakini hili swala la kuitwa mtakatifu kwa rc linamichanganyo.mara mtu huhesabiwa kuwa mt baada ya kufa.Na huyu papa kafa lini kama si sawa na huyo j devi.
 
papa anaitwa mtakatifu kwa sababu ya kazi anayoifanya cheo chake ndio utakatifu ndio maana sio kila papa huitwa mtakatifu baada ya kufa
 
papa anaitwa mtakatifu kwa sababu ya kazi anayoifanya cheo chake ndio utakatifu ndio maana sio kila papa huitwa mtakatifu baada ya kufa

Mtakatifu kwa Maana ipi, Yani Holy Au Saint?

Ebu Nisaidie Hapo
 
watu wa Arusha wana tatizo la kutokutofautisha f na V. Kwa hiyo ni vema kuwa makini na matamshi yao.
 
Watu wa Arusha wako very emotional so huwa wanaamini haraka sana. Na jamaa atawakamua sadaka sana. Yesu alizunguka Kwa miguu na Punda umbali mrefu sana kamji ka Arusha anatumia chopa eti anakabariki. Si ajabu anakalaani zaidi na mapepo yake.
 
sishangai sana kuhusu hilo, maana leo nami leo nimeangalia ibada ya kanisa la yule jamaa wa atn kuna kipindi kulikuwa matendo kama wanayofanya wakatoliki...
 
sishangai sana kuhusu hilo, maana leo nami leo nimeangalia ibada ya kanisa la yule jamaa wa atn kuna kipindi kulikuwa matendo kama wanayofanya wakatoliki...

Hawa wahubiri wanasarakasi mpaka basi....Ngoja tuwaone na sarakasi zao..
 
Wakuu,,,

Nikiwa nimejipumzisha home huku nikitafuta steshen murua ya Radio ili kusikiliza kusindikiza usiku wangu vyema mara nikakumbana na Radio hii inayoitwa NYU Radio ama (Ngurumo ya Upako Fm )

Kwakuwa nilikuwa sijawahi isikia hii redio kutokana sikuwa nipo Arusha kwa muda mrefu ilibidi ni stop hapo ili kuisikiliza...

Wakati naendelea kusikiliza kulikuwa na kipindi nafikiri cha Ushuhuda mbali mbali kwa waumini wa Nabii Geo Davie....

Basi muumini mmoja akawa anatoa shuhuda zake jinsi alivyo guswa na mahubiri ya Kadinali wa kanisa hilo..
"Yani Fan J natamani Baba, Mh, Dr. Nabii Mkuu Geo Davie angechagua hata Makadinali wengine 10"

Hakika nilistaajabu sana..

My take:
Haya makanisa yaache kuiga hata mambo mengine ambayo hayawahusu...Kwa mtindo huu huyu Nabii karibuni ataanza kujiita Baba Mtakatifu (Papa Geo Davie)...
Kadinali ni nani? Anapatikana katika kanisa maalum au lolote tu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom