Maajabu 2013Ooo

Kaoge maji ya bahari

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Heee makubwa haya tena kwani ukoukoje hadi ufuatwe na makitu hayo mmmh tena usoni mwa mkeo inatisha.
 
wewe+mkeo+ mtoto mdogo kwenye bodaboda?? Sounds like a half baked story. Rudisha jikoni.
 
pole sana mkuu. kumbe bodaboda ina "ndani" au bajaji???????/
 
Mh!~ hiyo ya pili wakati anaitunga hakuwa makini.
 
pole hayo mabalaa yapo ila story ya pili kama ya kutungwa hivi! mara moja ilinitokea FOR STARS CLUB Morogoro Kuna jamaa alikuwa smart ile mbaya tulicheza naye muziki badaye akaanza kunambia niende naye kwake mitaa ya FOREST akasema tuondoke kwa vile amekuja na gari lake,nikamdanganya kuwa nimechukua gari la baba angu naye amesema nilirudishe mapema asubuhi,jamaa alikomaa mpaka nikaogopa mwishoni nikafanikiwa kutoroka mpaka leo sijajua kama jamaa alikuwa shoga au alikuwa na biashara nyingine sababu katika kucheki alionekana ana kampani kubwa.

then siku nyingine nikiwa pale MZUWANDA BAR nilicheza dada mmoja alipenda kuchezaa muziki na mimi,nikacheza naye nikamnunulia bia kadhaa ila nikakataa kukaa naye meza moja nikasema akakae na marafiki zake,mara mzee mmoja akaamua kukaa na yule dada,
kumbe yule dada mumewe alikuwa anamsaka na ghafla akatokea ilikuwa ni noma nikawa najisemesha kuwa ningekaa naye ingekuwa noma.
 
unawatia aibu wakina Mtambuzi, wenzio wakitunga stori zinakamilika.
 
Tatizo sheria za nchi yetu inakua ngumu kwa mlala hoi kama mimi kumiliki chamoto.

wewe tembea na chabaridi chako(kisu,nyundo,bisibisi,panga,sime).au hata spoku na msumari.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…