Maajab! Malaika aina ya makeherubi adondoka toka mbinguni!

1academ

JF-Expert Member
Oct 15, 2016
1,913
2,000
Aisee ni taarifa za kutamausha mazee, binafsi nimezipokea kwa mshangao mkubwa..
FB_IMG_1512500474785.jpg
FB_IMG_1512500478156.jpg
FB_IMG_1512500483879.jpg
FB_IMG_1512500487932.jpg
 

Mr Q

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
9,938
2,000
picha ya kitambo sana hiyo probably 2015 mwishoni au 2016
 

Hute

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,549
2,000
unajua kuwa malaika ni roho, hata wakionekana na miili huwa wanakuwa wameivaa tu lakini wao ni roho? do you know that? they can not be seen in the physical, hadi wao wenyewe waamue kujionyesha, sio kukamatwa kwenye kiota namna hiyo kama hapo kwenye picha. afu ni wazuriii, hawana sura mbaya ivo. siwaabudu malaika, ila kwa tunavyowasoma, Mungu amewatengeneza wazuri hata wa umbo...labda wawe malaika wa shetani. Mungu anapenda wanaomwabudu wawe bora sio alimradi tu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom