Maagizo Haya ya RC wa Dar es Salaam yanatisha

Toosweet

JF-Expert Member
May 27, 2012
2,141
1,982
Heshima Kwenu.

Siku ya Jumatatu tarehe 18 Septemba tukiwa Keko Magurumbasi ninakoishi, tukiwa tunapata chakula bar iliyoungana na gesti, ghafla walitokea polisi. Waliingia moja kwa moja sehemu ya gesti kwenye vyumba.

Kulikuwa na kelele na taharuki. Watu walikuwa wanatolewa kwenye vyumba na kuulizwa, kwa nini mnalala wakati wa kazi? Mnatakiwa kuwa maofisini, viwandani na kwenye maeneo mengine ya kazi.
Ilikuwa ni mchana na bahati nzuri hatukuwa tunakunywa,labda na sisi yangetupata.Tulipofuatilia tukaambiwa ni maagizo ya mkuu wa mkoa kuhakikisha watu wote wanawajibika kufanya kazi muda wa kazi.

Watu walipeana taarifa, wale wasio wageni ambao kwa kweli ni wachache walipotea. Wengine walibaki. Hatukujua yaliyotokea baadae.

Keko Magurumbasi, eneo la fenicha kumezungukwa na gesti nyingi. Kuna madereva wa magari makubwa hupenda kupanga wakisubiri safari.
Wakati mwingine kunakuwa na wachezaji wa timu ndogo/daraja la kwanza huweka makazi.
Wageni toka baadhi ya nchi hasa Zambia na Congo hupenda kupanga wakisubiria mizigo yao kufungwa ili wapeleke makwao.Wengine ni madereva wa transit vehicles. Bei rahisi ndiyo kigezo.

Wapangaji wenyeji ni vijana wanaogonga fremu za sofa. Hupata 'short time' gesti wakipokea malipo toka kwa matajiri wao lakini kwa hali ya sasa ni wachache sana.

Si vyema kustarehe muda wa kazi lakini muda wa kazi kwa watu hutofautiana. Wengine hukesha kazini wakapumzika mchana. Wengine humaliza kazi zao kabla ya saa sita mchana na kuamua kutumia.

Jambo hili halikuwa lazima.Limeleta usumbufu kwa watu wengine.. Sina hakika kama maeneo mengine ya Dar yameguswa au ni Keko tu.
 
Hii nchi kila kiongozi ana idea yake na solution ya maendeleo.Zile strategy na sera rasmi za kitaifa wamezivurunda. Kuna wengine Jumamosi wanaagiza kufunga maduka mpaka saa nne, wengine nje ya box,wengine asiefanya kazi asile,...
 
Heshima Kwenu.

Siku ya Jumatatu tarehe 18 Septemba tukiwa Keko Magurumbasi ninakoishi, tukiwa tunapata chakula bar iliyoungana na gesti, ghafla walitokea polisi. Waliingia moja kwa moja sehemu ya gesti kwenye vyumba.

Kulikuwa na kelele na taharuki. Watu walikuwa wanatolewa kwenye vyumba na kuulizwa, kwa nini mnalala wakati wa kazi? Mnatakiwa kuwa maofisini, viwandani na kwenye maeneo mengine ya kazi.
Ilikuwa ni mchana na bahati nzuri hatukuwa tunakunywa,labda na sisi yangetupata.Tulipofuatilia tukaambiwa ni maagizo ya mkuu wa mkoa kuhakikisha watu wote wanawajibika kufanya kazi muda wa kazi.

Watu walipeana taarifa, wale wasio wageni ambao kwa kweli ni wachache walipotea. Wengine walibaki. Hatukujua yaliyotokea baadae.

Keko Magurumbasi, eneo la fenicha kumezungukwa na gesti nyingi. Kuna madereva wa magari makubwa hupenda kupanga wakisubiri safari.
Wakati mwingine kunakuwa na wachezaji wa timu ndogo/daraja la kwanza huweka makazi.
Wageni toka baadhi ya nchi hasa Zambia na Congo hupenda kupanga wakisubiria mizigo yao kufungwa ili wapeleke makwao.Wengine ni madereva wa transit vehicles. Bei rahisi ndiyo kigezo.

Wapangaji wenyeji ni vijana wanaogonga fremu za sofa. Hupata 'short time' gesti wakipokea malipo toka kwa matajiri wao lakini kwa hali ya sasa ni wachache sana.

Si vyema kustarehe muda wa kazi lakini muda wa kazi kwa watu hutofautiana. Wengine hukesha kazini wakapumzika mchana. Wengine humaliza kazi zao kabla ya saa sita mchana na kuamua kutumia.

Jambo hili halikuwa lazima.Limeleta usumbufu kwa watu wengine.. Sina hakika kama maeneo mengine ya Dar yameguswa au ni Keko tu.
fanyeni kazi acheni kulalala
 
Huyo ni mpuuzi.,dereva wa truck aliyeendesha gari usiku kucha then gari inapakia tayari kwa kuanza safari nyingine usiku unaofuata,apumzike saa Ngapi?Na akipata ajali ataambiwa ni makosa yake.Mphhhyu."serikali ya manunda".
 
Kabla ya kuja kuandika humu ungeenda au kuandikia ofisi ya Mkuu wa Mkoa kupata ufafanuzi!!!

Ila wauza miili lazima wanatenda mengi mchana na kuvutia wavivu..
 
Mawazo mgando utayabaini mapema. Mko wengi humu.
 
*****, wangejua sa hv napigika kazini wasingeleta Huyu u****e wa kunizuia kunywa bia mchana!!!
 
Mie mlinzi usiku,sasa nitapumzika saa ngapi? Sina OFF wala nini,mimi ni ON kwenda mbele.
 
Heshima Kwenu.

Siku ya Jumatatu tarehe 18 Septemba tukiwa Keko Magurumbasi ninakoishi, tukiwa tunapata chakula bar iliyoungana na gesti, ghafla walitokea polisi. Waliingia moja kwa moja sehemu ya gesti kwenye vyumba.

Kulikuwa na kelele na taharuki. Watu walikuwa wanatolewa kwenye vyumba na kuulizwa, kwa nini mnalala wakati wa kazi? Mnatakiwa kuwa maofisini, viwandani na kwenye maeneo mengine ya kazi.
Ilikuwa ni mchana na bahati nzuri hatukuwa tunakunywa,labda na sisi yangetupata.Tulipofuatilia tukaambiwa ni maagizo ya mkuu wa mkoa kuhakikisha watu wote wanawajibika kufanya kazi muda wa kazi.

Watu walipeana taarifa, wale wasio wageni ambao kwa kweli ni wachache walipotea. Wengine walibaki. Hatukujua yaliyotokea baadae.

Keko Magurumbasi, eneo la fenicha kumezungukwa na gesti nyingi. Kuna madereva wa magari makubwa hupenda kupanga wakisubiri safari.
Wakati mwingine kunakuwa na wachezaji wa timu ndogo/daraja la kwanza huweka makazi.
Wageni toka baadhi ya nchi hasa Zambia na Congo hupenda kupanga wakisubiria mizigo yao kufungwa ili wapeleke makwao.Wengine ni madereva wa transit vehicles. Bei rahisi ndiyo kigezo.

Wapangaji wenyeji ni vijana wanaogonga fremu za sofa. Hupata 'short time' gesti wakipokea malipo toka kwa matajiri wao lakini kwa hali ya sasa ni wachache sana.

Si vyema kustarehe muda wa kazi lakini muda wa kazi kwa watu hutofautiana. Wengine hukesha kazini wakapumzika mchana. Wengine humaliza kazi zao kabla ya saa sita mchana na kuamua kutumia.

Jambo hili halikuwa lazima.Limeleta usumbufu kwa watu wengine.. Sina hakika kama maeneo mengine ya Dar yameguswa au ni Keko tu.
Ilitokea hapo Keko tu. Maeneo mengine ilikuwa shwari. Polisi pale Keko walifuata raia wa kigeni wanaoishi nchini kinyume na sheria.
 
Back
Top Bottom