Ofisi ya utumishi manispaa morogoro ni wazembe na wanafanya kazi kwa mazoea,ukienda ofisin kwao ni umbea mtupu,wanatoa huduma kwa hiari kana kwamba ni ofs binafs ya mtu isiyojali wateja.Serikali ilitoa agizo la kupunguza madai pasipokua na ulazima.wametoa barua za kupandisha watumishi madaraja toka january bali hakuna marekebisho ya mshahara kwa sababu ya uzembe wa kutotuma taarifa mapema utumishi.Mamlaka husika iwashughurikie