Maafisa Usalama wavamia nyumba za Diddy, akakimbia msala na ndege yake binafsi inafuatiliwa huko Antigua Caribbean

Kuna mahala pesa haifanyi kazi kabisaa hawa jamaa wao ni kufwata sheria ya Nchi yao inataka nini na haitaki nini, huku Afrika asingaliguswa ingalibakia kusema uchunguzi hauja kamilika miaka inakwenda. Utawla wa sheria kwakweli ni nguzo ya kuendesha Nchi bila hofu yoyote maana hamna aliye juu ya sheria kabisa.
Huku Bongo Pauline Gekul kafutiwa mashitaka na DPP yani hata uchunguzi hakuna Dpp kaanza kuzunguka kwenye vyombo vya habari kumtetea
 
Mweusi akipata hela kwa mziki lazima aingie ukahaba na drugs sijui kwanini
Halafu wakikamatwa wanasema tunaonewa
Haya R Kelly ananyea debe na huyu karibuni atafilisika halafu sisi wa Buza tutalia na kusema kisa black wamemuwekea mtego
Mbona kina Denzel wana heshima zao?
 
Kaka umesema ukweli inakuwa kwamba wamepania nikifanikiwa watanikoma sasa vina warudia wanaishia kuishi kama panzi mwenye minofu anawindwa na ndege, na mbaya zaidi ushaidi unapatikana basi inakuwa hakuna huruma tena.
 
Haswa na wengi wanaobahatika kupata hela za haraka huku wakiwa wametokana na umasikini huwa wanasahau hata wazazi na pia walikotoka badala yake hela zinawapa kiburi hata kutoa amri ya kuuwa kwa kuwalipa watu
Hizo damu haziendi bure kaka

Laana zinawatafuna
 
Mkuu umesema vya ukweli kabisa Damu ya Mtu haiendi bure kabisa itamlilia aliye imwaga hata ajifiche wapi italia nae tu.
 
Mweusi akipata hela kwa mziki lazima aingie ukahaba na drugs sijui kwanini
Halafu wakikamatwa wanasema tunaonewa
Haya R Kelly ananyea debe na huyu karibuni atafilisika halafu sisi wa Buza tutalia na kusema kisa black wamemuwekea mtego
Mbona kina Denzel wana heshima zao?
Haya mambo ya kuandaa mahouse parties majumbani unaita watu mbali mbali,piga pombeanayevuta unga atavuta,watu humo ni kusex kubakana nk
Lazima kama unafanya hivyo iko siku itakutokea puani

Ova
 
Ni ushamba ingawa wamezaliwa mjini
Ndio maana weupe watabaki kuwa matajiri duniani
Mweusi anawaza ngono na party tu lakini hela wanazopata ni ndefu sana kiasi wanaweza hata kuanzisha mji wake
Wanachezea hela sana hawa jamaa
Mike Tyson leo choka mbaya ila enzi zake alikuwa anaona hata kusubiri ndege airport anaona anachelewa kula demu anaamua kuchukua private jet na kula Bata

Tuna laana mahali fulani ila hatujui
 
Back
Top Bottom