King Loto
JF-Expert Member
- Nov 28, 2018
- 1,757
- 1,543
Unachoma mahindi bure kumpigania mtu kipato chake, yaani unaenda kutake risk kwenye maisha ya mtu mwingine ili yeye atoboe.....wanawatesa tu watoto wa watu maskini
Unachoma mahindi bure kumpigania mtu kipato chake, yaani unaenda kutake risk kwenye maisha ya mtu mwingine ili yeye atoboe.....wanawatesa tu watoto wa watu maskini
Ni sawa na yule alieenda kuiba?kuna jamaa wakati tumemakiza chuo akaona tangazo la kazi akaomba akapigiwa simu aende kwenye intavyuu,kapiga intavyuu ya sales kapita kesho kaitwa aanze kazi dooh kufika anakabidhiwa lundo la vyombo akauze mtaanzi kwa promotion hahahahhaa jamaa aliwatukana kinoma ye alijua kazi atakua anakaa kwenye kiyoyozi gari ya ofisi na mpunga mrefu kumbe ni kupiga domo mtaani kwa wateja😂😂😂😂
asee unakuta mtu anakula.kwako kutoka Mwenge hadi buza kudadeki halaf hauzi hata kijiko,na akirud na mzigo ofisin hapat hata jelo ya maji...undezi huu aseeUnachoma mahindi bure kumpigania mtu kipato chake, yaani unaenda kutake risk kwenye maisha ya mtu mwingine ili yeye atoboe.....
msitake "kuiba" kama advantage ya kuwatumikisha kama.punda watoto wa watu.....msiwadanganye ajira kwa term za kuvutia kumbe ni umachinga usiokua na tija,bora hiyo hela ya nauli kuja ofisin kwenu aanze kuuzia maji tu ya kandoro atleast atamake kidogo kidogo hadi anakua bosi kwenye ajira yake alojiajiriNi sawa na yule alieenda kuiba?
Hakuna mtu hata mmoja amekuja kulalamika hapa.juu ya hizi nafasi, so wewe na Chinga One mna gubu tu na ndoa zenu hizo za mitala!si useme tu kweli kuwa ni kazi ya kuuza dawa mswaki za alovera kwenye mabasi
Sent from my iPhone using JamiiForums
Sales kwenye kinywaji gani? brand ipi?
ukweli siku zote unabaki kua juu.....acheni kuwatumikisha watoto wa watu bahati mbaya most of them they are desperate,mnatumia hiyoweaknes kuwaumizaHakuna mtu hata mmoja amekuja kulalamika hapa.juu ya hizi nafasi, so wewe na Chinga One mna gubu tu na ndoa zenu hizo za mitala!
Mko safarini mnafika Msata dereva anapunguza sauti ya radio kijana mdogo alochomekea vizuri na kukaba tai licha ya joto kati anasimama na kusalimia.....Asalam aleikhum na bwana asifiwe ndungu zangu abiria na poleni kwa uchovu wa safari samahanini kwa usumbufu naomba mniskilize.......(abiria wanaitikia kwa uchovu na waliolala wanashtuka kwa hasira nani anatupigia kelele huyo)....kijana anaendelea kuongea kama chiriku.....Kwa majina naitwa Wiu Nzabobibimana natokea kampuni ya Bashite natural herbs tunajishughulisha na utengenezaji wa bidhaa za sabuni,dawa za meno mafuta na lotion kwa mimiea asilia ya kitanzania kampuni inapatikana Magogoni Dar es salaam....leo ndugu zangu abiria nakuleta bidhaa hizi kwa bei ya promotion....anainama anatoa sabuni za kichina za Alovera......si useme tu kweli kuwa ni kazi ya kuuza dawa mswaki za alovera kwenye mabasi
Sent from my iPhone using JamiiForums
kuna jamaa wakati tumemakiza chuo akaona tangazo la kazi akaomba akapigiwa simu aende kwenye intavyuu,kapiga intavyuu ya sales kapita kesho kaitwa aanze kazi dooh kufika anakabidhiwa lundo la vyombo akauze mtaanzi kwa promotion hahahahhaa jamaa aliwatukana kinoma ye alijua kazi atakua anakaa kwenye kiyoyozi gari ya ofisi na mpunga mrefu kumbe ni kupiga domo mtaani kwa wateja😂😂😂😂
Haha 😂😂 nimecheka sana umejulia hapo Mara dawa hii ndugu yangu inatibu magonjwa yote, sasa dawa yakutibu magonjwa yote reaction yake vipi?Mko safarini mnafika Msata dereva anapunguza sauti ya radio kijana mdogo alochomekea vizuri na kukaba tai licha ya joto kati anasimama na kusalimia.....Asalam aleikhum na bwana asifiwe ndungu zangu abiria na poleni kwa uchovu wa safari samahanini kwa usumbufu naomba mniskilize.......(abiria wanaitikia kwa uchovu na waliolala wanashtuka kwa hasira nani anatupigia kelele huyo)....kijana anaendelea kuongea kama chiriku.....Kwa majina naitwa Wiu Nzabobibimana natokea kampuni ya Bashite natural herbs tunajishughulisha na utengenezaji wa bidhaa za sabuni,dawa za meno mafuta na lotion kwa mimiea asilia ya kitanzania kampuni inapatikana Magogoni Dar es salaam....leo ndugu zangu abiria nakuleta bidhaa hizi kwa bei ya promotion....anainama anatoa sabuni za kichina za Alovera......
hakuna anae teswa. Shida unakuja kuwa unajiposition wap katka kuwaza kwako employee / employerwanawatesa tu watoto wa watu maskini
hahahaha eti dawa inatibu jino hadi mba wa kichwani na kwenye ngoziHaha 😂😂 nimecheka sana umejulia hapo Mara dawa hii ndugu yangu inatibu magonjwa yote, sasa dawa yakutibu magonjwa yote reaction yake vipi?
Mko safarini mnafika Msata dereva anapunguza sauti ya radio kijana mdogo alochomekea vizuri na kukaba tai licha ya joto kati anasimama na kusalimia.....Asalam aleikhum na bwana asifiwe ndungu zangu abiria na poleni kwa uchovu wa safari samahanini kwa usumbufu naomba mniskilize.......(abiria wanaitikia kwa uchovu na waliolala wanashtuka kwa hasira nani anatupigia kelele huyo)....kijana anaendelea kuongea kama chiriku.....Kwa majina naitwa Wiu Nzabobibimana natokea kampuni ya Bashite natural herbs tunajishughulisha na utengenezaji wa bidhaa za sabuni,dawa za meno mafuta na lotion kwa mimiea asilia ya kitanzania kampuni inapatikana Magogoni Dar es salaam....leo ndugu zangu abiria nakuleta bidhaa hizi kwa bei ya promotion....anainama anatoa sabuni za kichina za Alovera......
😂😂😂😂😂😂haahahaha washenzi sana wale.......wanaweza kukuuzia brashi ya kusugulia mguu wakakwambie inasaidie mbu wasiking’ate [emoji23]
AhaaahaaahaaaMko safarini mnafika Msata dereva anapunguza sauti ya radio kijana mdogo alochomekea vizuri na kukaba tai licha ya joto kati anasimama na kusalimia.....Asalam aleikhum na bwana asifiwe ndungu zangu abiria na poleni kwa uchovu wa safari samahanini kwa usumbufu naomba mniskilize.......(abiria wanaitikia kwa uchovu na waliolala wanashtuka kwa hasira nani anatupigia kelele huyo)....kijana anaendelea kuongea kama chiriku.....Kwa majina naitwa Wiu Nzabobibimana natokea kampuni ya Bashite natural herbs tunajishughulisha na utengenezaji wa bidhaa za sabuni,dawa za meno mafuta na lotion kwa mimiea asilia ya kitanzania kampuni inapatikana Magogoni Dar es salaam....leo ndugu zangu abiria nakuleta bidhaa hizi kwa bei ya promotion....anainama anatoa sabuni za kichina za Alovera......