Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 43,180
- 51,537
wizi ni tabia ya mtu sio kabila
chuki hi ni kwavile wachaga wamepiga hatua kubwa kimaendeleo idara zote
wezi wapo makabila yote
Nani kasema habari za kabila
wizi ni tabia ya mtu sio kabila
chuki hi ni kwavile wachaga wamepiga hatua kubwa kimaendeleo idara zote
wezi wapo makabila yote
MwiziNani kasema habari za kabila
wapuuz wanasema ati wachaga wezi huo n upuuz we wapo Kila kabilaNani kasema habari za kabila
Wachaga mmezidi WIZI na Utapeli. Kila siku kwenye vyombo vya habari matukio makubwa ya Wizi, Ujambazi na utapeli majina huwa yanaashiria ni watu wa wapi? Mpaka mnaogopa kutumia majina yenu kamili mnaishia kuyafupisha kwa kuficha Aibu ya WIZI.
Kama maendeleo ya Wizi acha nibaki na umaskini wangu. Bladibastadi
Pathetic!
bado ww zwazwaWachaga mmezidi WIZI na Utapeli. Kila siku kwenye vyombo vya habari matukio makubwa ya Wizi, Ujambazi na utapeli majina huwa yanaashiria ni watu wa wapi? Mpaka mnaogopa kutumia majina yenu kamili mnaishia kuyafupisha kwa kuficha Aibu ya WIZI.
Kama maendeleo ya Wizi acha nibaki na umaskini wangu. Bladibastadi
Pathetic!
Heshima aitoe wapi MWIZI huyo!?
mkuu Kuna mijitu inakera miwatu Kama hiyo hakuna namna nyingn ya kuijibuAkina Lumbo Makiadi wa T.P.O.K na badae madilu system hawana jazba za hivi mkuu. Linda heshima(ID) ya Watoto hawa wa Mosusu Seseseko.
wapuuz wanasema ati wachaga wezi huo n upuuz we wapo Kila kabila
True walahiHakuna namna wakavikwe tu jezi za Spark huko jela.
Hawa watu wako tayari watoe roho ta mtu ili tu wapate fedha wakalewe.
Hahahaha Wachaga bwana!bado ww zwazwa
wachaga wana maendeleo tangu hata kabla ya Uhuru,akina mzee aikaeli walimsaidia nyerere nauli kwenda un kudai Uhuru,pia viongoz wa jadi wa kipindi hicho walikuwa na elimu zao mfano mangi mareale alikuwa elimu ya degree kutoka London University alioipata 1938
kulikuwa na huduma zote za kijamii enz hizo mashule,lami, hospital nk hadi Kilimanjaro ikataka kujitenga
maendeleo unayoyaona Kilimanjaro ni jadi yetu tangu zaman uache uzuzu wako
Mambo ya wizi ni tabia ya mtu mmja mmoja
hivi Kuna ofisi yoyote ya umma ulienda ukamkosa mchaga? mchaga yupo Kila sehemu tz Sasa unashangaa Nini tukiwa na maisha mazuri?
ma Donn wakubwa tz unawafahamu?
tunamiliki hadi precision air,makampuni ya mabasi tz karibu 60% ni ya wachaga Sasa unachoshangaa nnn?
ukome kbs
Eti mmetangulia kwenye chati kitambo!.....labda kwenye Chati ya Majizi, Matapeli na Majambazi.njoo nikuajiri ulishe mifugo yangu hapa marangu sawaya najua una njaa
Kwanza ukifika tu uchagani utasahau shida zako zote ndio ujue tumetangulia kwenye chat tangu kitambo
usidhan watu wote wanna akili za kucheza baikoko ka we sisi tunawaza elimu na pesa na kwenye nyanja hizo tulikuwepo,tupo na tutazd kuwepo
Eti mmetangulia kwenye chati kitambo!.....labda kwenye Chati ya Majizi, Matapeli na Majambazi.
Endeleeni kujidanganya...ila kwa hakika sasa mnaisoma na mtaendelea kuisoma mpaka muombe pooo Bladibastadi.
naona umaskini wako unakusumbuaHahahaha Wachaga bwana!
Hata ikiwa asilimia 150% ya wasomi na wamiliki wa Makampuni ya mabasi Tanzania ni Wachaga, kama huo umiliki wa hayo Makampuni ya mabasi mmeupata kwa Wizi na Unyang'anyi wa mali za wengine na huo usomi mmeupata kwa kununua vyeti feki ni BURE KABISAAAA!
Asilimia 90% ya vyeti feki vilivyofyekwa ni nyinyi Wachaga. Ndio maana mna hasira na chuki ya kutoka sayari ya Uranus (Ur anus).
Ninachoshangaa ni jinsi mlivyojaa Wizi, utapeli na Ujambazi! Bladibastadi
nimempa vidonge leo.atalala na viatu Kwanza ni umaskini unamsumbua nimempa of a ya kuja kufanya kazi kwangu marangu sawaya ya kulisha mbuz wangu njaa inammaliza huyu mtuNami nimemshangaa kaja anafura kama vile ndiye nimesema mchaga mwizi
Huko Mirembe wagonjwa mnaruhusiwa kuwa na Smartphone siku hizi!?naona umaskini wako unakusumbua
tumepata mali kwa wizi? mbona usiende mahakamani kushtaki?
tumesoma kwa kinunua vyeti? hebu weka takwimu hapa ya waliotumbuluwa tuone utakavyoaibika
tangu enzi za nyerere tunaidhamini elimu ndio maana hadi Leo Kilimanjaro ndio mkoa wenye shule za secondary nyingii tz (315) ikifuatiwa na dar (299)
na mwaka Jana matokeo ya form four tumeongoza kitaifa
pole kwa kuugua njaa usione aibu njoo nikupe kazi ulishe mbuz wangu hapa marangu nyumba ya kulala nitakupa bure full kiyoyoz
Wewe inakuuma nini sasa kama sio utaira unakusumbuaEti mmetangulia kwenye chati kitambo!.....labda kwenye Chati ya Majizi, Matapeli na Majambazi.
Endeleeni kujidanganya...ila kwa hakika sasa mnaisoma na mtaendelea kuisoma mpaka muombe pooo Bladibastadi.
Kwenye ofisi ya kata yetu (ofisi ya umma) hakuna mchaga mkuu. Walete basibado ww zwazwa
wachaga wana maendeleo tangu hata kabla ya Uhuru,akina mzee aikaeli walimsaidia nyerere nauli kwenda un kudai Uhuru,pia viongoz wa jadi wa kipindi hicho walikuwa na elimu zao mfano mangi mareale alikuwa elimu ya degree kutoka London University alioipata 1938
kulikuwa na huduma zote za kijamii enz hizo mashule,lami, hospital nk hadi Kilimanjaro ikataka kujitenga
maendeleo unayoyaona Kilimanjaro ni jadi yetu tangu zaman uache uzuzu wako
Mambo ya wizi ni tabia ya mtu mmja mmoja
hivi Kuna ofisi yoyote ya umma ulienda ukamkosa mchaga? mchaga yupo Kila sehemu tz Sasa unashangaa Nini tukiwa na maisha mazuri?
ma Donn wakubwa tz unawafahamu?
tunamiliki hadi precision air,makampuni ya mabasi tz karibu 60% ni ya wachaga Sasa unachoshangaa nnn?
ukome kbs
Kwenye ofisi ya kata yetu (ofisi ya umma) hakuna mchaga mkuu. Walete basi