Maafa usafiri wa Noah | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maafa usafiri wa Noah

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mopaozi, Oct 16, 2011.

 1. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #1
  Oct 16, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,109
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Hv kinachosubiriwa ni ajali ili iundwe tume na litolewe tamko la kupiga marufuku usafiri huu wa abiria ni wapi kilitolewa kibali gari hizi zibebe abiria!!leo nimeahirisha safari baada ya kukosa bus nikapelekwa kwenye noah yaani kilichonitisha abiria wamepangwa kama nyanya dereva kabwamdogo kako bwaksi nikajiuliza nawahi wapi bora nibaki tu maafa makubwa yaja ktk usafiRi huu wa NOAH!!
   
 2. s

  sikiolakufa JF-Expert Member

  #2
  Oct 16, 2011
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 411
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  ni ujinga wako tu kwa nini ulipanda?
   
 3. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #3
  Oct 16, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,419
  Likes Received: 655
  Trophy Points: 280
  Mwana uko rombo nini? maana huo ndo usafiri wetu 2 and 4rm moshi.
   
 4. P

  Parachichi JF-Expert Member

  #4
  Oct 16, 2011
  Joined: Jul 22, 2008
  Messages: 517
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  noah zinakimbia mbaya!afu tairi vipara mbaya!watu wanajazana kama nyanya ndan ya tenga!siku kikipiga chn patakua hapatosh,abiria wengine wanakaa kwenye buti wanawekewa vigoda!
   
 5. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #5
  Oct 16, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,341
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  Arusha to Namanga pia Arusha town kwenda Karatu ndio usafiri wa kisasa !!
   
 6. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #6
  Oct 16, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 23,957
  Likes Received: 2,631
  Trophy Points: 280
  lakini mkuu....kama umemsoma vizuri.....hakupanda ameamua kubaki.....
   
 7. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #7
  Oct 16, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 22,238
  Likes Received: 9,255
  Trophy Points: 280
  aliahirisha safari na wewe!!
   
 8. DASA

  DASA JF-Expert Member

  #8
  Oct 16, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 1,030
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Wapi huko.
   
 9. Lyceum

  Lyceum JF-Expert Member

  #9
  Oct 16, 2011
  Joined: Oct 1, 2009
  Messages: 841
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 60

  Rombo kwenu mkuu? Mpe hi Mramba fisadi
   
 10. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #10
  Oct 16, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 11,973
  Likes Received: 1,748
  Trophy Points: 280
  Tanzania imelaaniwa. Kila mmoja anajipangia lake.

  Mungu tubariki!
   
 11. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #11
  Oct 16, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,109
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  We lazima utakuwa Chadema maana mnajua kuipinga tu bila hata kujua mantiki na maana ya kupinga!
   
 12. h

  hayaka JF-Expert Member

  #12
  Oct 16, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 476
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ms mjini kwenda rombo kama we unajua kuendesha unafika huku mguu unauma kwa kushika break jinsi noa zinavyokimbizwa.
   
 13. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #13
  Oct 16, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,109
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Madereva wa Noah hawana leseni wengi walikuwa dei waka kwny daladala wamepewa waviendeshe hakika siku kikiwamwaga watu ndo watajua kuwa kuku hatoi maziwa!
   
 14. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #14
  Oct 16, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 38,490
  Likes Received: 3,363
  Trophy Points: 280
  Wapi huko wakuu...
   
 15. n

  nako g Member

  #15
  Oct 16, 2011
  Joined: Oct 13, 2011
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  usafir wa noah ndo wenyewe kaka,,ac/mahewa n.k
   
 16. n

  nako g Member

  #16
  Oct 16, 2011
  Joined: Oct 13, 2011
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  suala la kuanguka kwa gari hata bus linadondokaga2 so,inategemea
   
 17. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #17
  Oct 16, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,419
  Likes Received: 655
  Trophy Points: 280
  Mi half blood mrombo bwana, huwa naenda kuzuga tu!
   
 18. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #18
  Oct 16, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,853
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Noah usafiri mzuri tu tena fasta, tatizo labda ni hilo la kujaza abiria nakuwapanga kama nyanya za Ilula.
   
 19. Job K

  Job K JF-Expert Member

  #19
  Oct 16, 2011
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 5,934
  Likes Received: 1,743
  Trophy Points: 280
  Hako nako kaacheni kakimbilie kutukana watu tu!

  Mtu amesema aliahirisha jamaa amekomaa kutukana tu! Wa-TZ tuna matatizo kwenye bongo zetu. Mtu hujasoma vizuri unakimbilia kujibu kwa vile umesoma maneno mawili tu!

  Nimempuuza sana huyu jamaa sijui ana umri gani?
   
 20. Chenge

  Chenge JF-Expert Member

  #20
  Oct 16, 2011
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 1,077
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Acha kulalamikia vitu vya kijinga kama umeona taabu kupanda Noah si ununue gari yako?
   
Loading...