Maafa kutokea muda wowote Tanzania baada ya BUSARA kutoweka!

Hivi, zaidi ya Ushehe, Ponda ana shughuli gani nyingine ya kumpatia kipato? Au ndo hizo pesa za waarabu anazopewa ili kuchochea migogoro ya Kidini?
 
Hivi nchi nzima hamna hata mjeda jasili akajitolea kutuondelea hilo joker_(jk) linalochanganya watu!
 
Jambo la kufanya kwa haraka ni kupiga marufuku shughuli zote za kuabudu zinazofanywa nje ya nyumba za ibada na kwamba vipaza sauti viwe kwa ajili ya kusikilizana ndani ya nyumba za ibada na kamwe si kupeleka mahubiri kwa watu wasiokuwa ndani ya hizo nyumba za ibada. Mh. Raisi usiogope kutoa agizo hili ingawaje litapingwa na wengi wanaoona njia ya kupata waumini ni kupitia mahubiri ya sehemu za wazi PakaJimmy Kitila Mkumbo Mkandara Mzee Mwanakijiji
Ndachuwa,
Hili linaweza kusaidia.
Lakini nina mashaka sana kutokea upande wa wenzetu waislamu kama wanaweza kuipokea hiyo hali kwa unyenyekevu.
Wakristo najua wazi wataacha mara baada ya agizo, lakini upande mwingine wataanzisha reference za nchi nyingine, na kwamba Uislamu una kawaida ya kutumia spika kwa karne na karne!

Otherwise hii kitu ikifanikiwa itakuwa ni mwisho wa hawa ndugu kutumia Biblia katika mahubiri ya Loud-Speaker, maana watakuwa wamekosa wa kumtukana!...naamini kabisa wakibaki msikitini hawawezi kabisa kugusa Bible kwa nia ya dhati ya kufundishana!
 
Ponda na redio iman wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa kuigawanya tanzania. Mbaya zaidi nchi utafikiri haina rais, sijajua kama kikwete anafahamu wajibu wake kama rais, rais anaendaje nje wakati nchi inaangamia?

Vasco Dagama, waliompa hili jina hawakukosea!! Huyu mzee ni MTALII, sijawahi ona...!!! Ndo maana Nyerere aliuliza, ”KUNA NINI IKULU....???”
 
Mkuu umenena vyema. Hivi viongozi wetu hawalioni hili. Au kwa kuwa Rais, makamu wa rais, rais wa zanzibar, makamu wa kwanza na wa pili wote ni waislamu wanafurahia hali hii ya kuchomwa makanisa? Mbona wako kimya wakati nchi yetu inataka kutumbukia kwenye balaa? Au kwa kuwa wao wanaweza kukimbia muda wowote machafuko yakitokea ndo maana wanalea hali hii? Je viongozi hawa wanataka kuipeleka wapi nchi hii? Wamesahau kuwa vurugu za kidini zikilelewa zinaweza kupelekea umwagaji mkubwa wa damu? Kwa nini wanawalea watu wanaohatarisha usalama wa nchi yetu. Au nao ni wadini?
Busara ni kitu muhimu sana katika maisha ya binadamu.

Katika kusoma kwangu falsafa kwa muda mrefu nimekumbana na maandiko mengi sana yanayohusudu busara na kuipa thamani ya juu kabisa kuliko kitu chochote kile.

Pale busara inapotea miongoni mwa watu wa mataifa basi hali ya baadae ya watu huwa mashakani na maisha ya watu huwa katika
hatari kubwa.

Kwa maana halisi ya falsafa ni mapenzi ya busara au Maarifa. Falsafa kwa kiingereza ni philosophia inatokana na maneno mawili ya kigiriki yaani ”PHILO” ambalo maana yake ni mapenzi na ”SOFIA” ambayo maana yake ni busara basi ukiunganisha hivyo vitu viwili
unapata PHILOSOPHY, yaani mapenzi kwa busara.

Maarifa na busara ni mambo mawili muhimu sana kwa uhai na maendeleo ya binadamu. Bila busara na maarifa vizazi vya binadamu vitaangamia. Ujinga huua na kuangamiza vizazi, bali busara huokoa.

Kitabu cha mfalme suleiman cha methali kinatuambia kunapokuwa ”hakuna maono watu huangamia”.

Ni maono pekee yanayopelekea dira ya watu na kujua wapi wanaelekea bila maono binadamu huangamia.

Wakati binadamu wanapoacha kutumia fikra walizopewa na mwenyezi mungu na kuendekeza matamanio ya mwili na tamaa za mwili basi maisha ya binadamu hupotea katika njia yake stahili.

Sio nia yangu kuandika dini au falsaha bali kujadili mambo yanayotokea na kuonekana dhahiri miongoni kwetu kwasasa. Mambo yanayotugawa na kuondoa umoja wetu kama Taifa na kufuta kabisa dira yetu na mwelekeo wetu kama Taifa.

Plato anatueleza vita vyote huletwa na mwili na matamanio yake na ndio hivyo hivyo Biblia inatueleza na Quaran inatueleza.

Ni ukweli usiopingika binadamu wameumbwa waishi kwa amani na upendo pamoja na ushirikiano.

Taifa letu liko kwenye migawanyiko mikubwa mno.

Ninaweza kuitaja kadhaa ambayo kwa hakika inahitaji akili zenye busara ili kuunganisha vipande hivi ambavyo vinaonekana kukua kwa kasi.

Nitaanza kuendelea Ubaguzi wa kidini na kutokuheshimiana miongoni mwa dini hizi kuu mbili.

Mdomo wa binadamu ni kitu chenye faida na chenye madhara makubwa mno. Mdomo huunganisha watu lakini mdomo huo huo hugawanya watu. Mdomo huleta uadui lakini mdomo pia huleta urafiki, Tutawezaje kuchunga mdomo usiotulia unaotema hila, uongo, ulaghai na kuleta migawanyiko miongoni mwa watu? Mdomo haujatulia, mdomo hautunzi siri una haraka sana ya kunena bila hata kufikiri, mdomo hujitukuza na kutaka sifa.

Ni dhahiri ya kwamba ni muhimu tuchunge midomo yetu kwakuwa uhai wetu upo katika midomo yetu. Ni muhimu pia tubadilishe jinsi tunavyofikiri ili tuwe na mabadiliko ya kimatendo.

Migawanyiko ya kidini ni kati ya migawanyiko mibaya sana. Na moto wake hauzimiki haraka. Hujenga chuki na uhasama kwa vizazi vingi kwenye chuki hakuna busara, hakuna fikra, bali watu huongozwa na hisia za chuki zinazochoma Nafsi zao na kuwaunguza, wanakuwa vipofu wa ukweli.

Ni muhimu sana kutokupandikiza chuki katika Taifa hili
 
Back
Top Bottom