Maafa Dar: CCM watoa rambirambi ya milioni 4, CHADEMA milioni 20

Waziri wa mambo ya nchi za nje ...ni moja wa wamiliki wa nyumba...kwenye bonde la Jangwani ...,nyumba hiyo ipo kwenye bonde la jangwani sehemu iliyopo chini ya mtaa wa mchikichini....,watu winging Wenye nyumba eneo hilo ni pamoja na mbunge zungu,diwani abuu Jumaa...na mfanyabiashara fida Hussein

Anayetaka kuona nyumba ya Membe aende mtaa huo asipite ofisini anuse kupitia wananchi wa kawaida....nyumba hiyo ya Membe kuna kipindi ilivunjwa....mwaka juzi na manispaa ya ilala ...lakini Akaijenga tena...na inasadikika amejenga guest ....au pia anaweza kuitumia kupangisha wananchi wa kawaida...

Huyo ndio Kati ya vigogo aliyewafanya wananchi wa kawaida eneo lile kupata kiburi...

Pole rais mtarajiwa kwa dhahama ya nyumba yako kuharibiwa na mafuriko...
 
Kutoa c utajiri.......
Kwanza walitakiwa watoe zaidi kwasababu hawakuwa na emergency plan licha ya kwamba walitumia mabilioni siku ya sherehe za uhuru wa umasikini na ufisadi.

"Kutoa c utajiri" maana yake nini wakati accountability hakuna?
 
Muda si mrefu utaskia Lowassa nae kachangia! Sijui mtasema kutoa ni moyo au ni ndoto ya Urais!
 
Kuna mwanamziki mmoja wa bongo fleva katoa milioni 20..hili nalo neno!
 
Halafu cha kushangaza zaidi hao hao ccm ndio wakwanza kudai nyongeza za posho wakitumia staili hizihizi kuwa kipindi cha matatizo watawasaidia wananchi...hahaaa msaada wenyewe ndio mil 4?? Nyoka ni nyoka hata awe amekufa...
 
Ninavyowajua ccm hv wanaenda kukaa Iliad kujibu mapigo kwa Jutland zaid ! Itakuwa safi. Lakn mpaka msemwe? Hovyo kabisa kabisa kabisa
 
bora ccm kuliko CHAUSTA na PONA ambao hawajatoa hata pole ya mdomo. hao wote wapo kwenye fungu moja la kupotea kabisa itakapo fika 2015. Mia
 
Kwahiyo mnashindana nani ametoa nyingi!..

Nani kakwambia tunashindana wewe? Tunataka kuonyesha na kujadili namna watu wasivyo makini na masuala makini kama haya,haiwezekani chama kilichopo madarakani kitoe shs 4 mil halafu tuangalie na kusema kutoa sio utajiri...na kama sio utajiri na ni moyo basi CCM hawana huo moyo kabisa....
 
Kuna mwanamziki mmoja wa bongo fleva katoa milioni 20..hili nalo neno!

Kwa hiyo wewe magamba unahara na unakiri kuwa viongozi wa CCM wana akili ndogo tena wanashindwa hata na akili za mwanamuziki mmoja wa bongofleva...kwa maneno mengine kichwa kimoja cha huyo mwanamuziki ni kama vichwa mil 4 za wanachama na viongozi wao...vichwa nazi kweli kweli...
 
zaidi ya hapo CHADEMA pia wamegundua maisha ya watanzania pia yalivyo maana ndani ya msafara wao wameona jinsi watu walivyojikuta katikati ya madimbwi na mabwawa yasiyo rasmi baada ya matajiri na mafisadi kugawiaw maeneo ya mikondo hata ya maji machafu na baadae maji yanaelekezwa kwenye makazi ya watu mfano bonde la mpunga masaki ni fedheha yaani wasubiri sanngara nyingine ya kushinikiza watu hawa kuokolewa
 
CCM hawsikii la muazini wala la ....., hawa jamaa wana roho ngumu kama Hitler na hata wakijua anayewasema watamuua kama wale wa igunga
 
Kwa hiyo wewe magamba unahara na unakiri kuwa viongozi wa CCM wana akili ndogo tena wanashindwa hata na akili za mwanamuziki mmoja wa bongofleva...kwa maneno mengine kichwa kimoja cha huyo mwanamuziki ni kama vichwa mil 4 za wanachama na viongozi wao...vichwa nazi kweli kweli...

Rais Jakaya Mrisho Kikwete, katenga Bilioni 3 kwa ajili ya walioathirika na mafuriko Dar es Salaam!
 
Back
Top Bottom