Ukishajiuluza na kujijibu kwanini sio Cheyo,Mrema,Lipumba au Mbatia basi utapata jibu chuki hii ni kwaajili ya kitu gani?Kwanini hawaongelei yule kiongozi mkuu katika chama ambae hachaguliwi kabisa 😂😂😂😂😂utagundua kuwa watu wana interest kubwa sana na chokochoko katika chama hiki na sababu kubwa ni kwamba wanawaogopa kwakweliSalam wanagenzi
Siasa ni mchezo wa HOVYO unao chezwa na watu smart upstairs, SIASA inakupatia mambo matatu, marafiki, WANAFIKI na maadui unaowajua.
CHADEMA, wana maadui wengi sana na kutokana na kutokuwa na watu upstairs (NYUMBU) wanawapa nafasi kubwa maadui zao kuanzisha mashambulizi ya Mara kwa Mara kabla hawajajipanga wanashambuliwa toka pande nyingine.
NITAFAFANUA PARAGRAPH HIYO HAPO JUU.
1. CCM
2. DEMOKRASIA YA NDANI
3. UMBUMBUMBU JUU YA SHERIA
Walakini yote hayo nasikitika kusema yanakuja kutokana na udhaifu mkubwa ndani ya CHADEMA.
Udhaifu mamba moja ni chama kutokua na vision na mission na kujulikana ni cha mrengo gani?. Mabebari au Wajamaa, au mchanganyiko wa ujamaa na ubepari.
Pili, inayotukia kwa sababu ya para hiyo ya juu, chama kujikuta kikicheza ngoma isiyokua yake, hivyo kujikuta ikidumbukia kwenye kushadadia matukio ambayo yametengenezwa na CCM.
Hapa ikumbukwe kwamba CCM kama chama cha siasa hakina budi kujiimarisha, hivyo haina haja ya kuwalalamikia kwakua hata CHADEMA wangekua kwenye nafasi hiyo wangelitenda kama CCM
Tatu na mwisho chama kinawatu wasomi lakini wanaoendeshwa kwa mihemko badala ya hoja na facts. Kuna makosa madogo madogo sana ya kiufundi, wanayafanya ambayo huharibu kabisa taswira ya chama.
MFANO HIVI PUNDE
Hawakujiandaa kuingia kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa, hawakuwaandaa pia wagombea, CCM ilitawanya wanasheria 1250 nchi nzima kuwaandaa wagombea wao, wakawatega kwenye kimtego cha kisheria wakanasa.
Pia wameingia kwenye mtego ambao umewadondosha kwa asilimia kubwa. Kitendo cha Freeman Aikael Mbowe kuchukua form ya uenyekiti ndio CCM walichokua wakikisubiri, Jana Waziri Mkuu mstaafu Sumaye Tulway kajiondoa CHADEMA halikua tatizo sana bali alichokisema wakati anaondoka.
Maneno aliyoyasema yamekua yakijirudia rudia, kwa kila anayeondoka ndani ya chama na hata walioamua kubaki ndani ya chama rejea ya Komu na Said Kubenea.
CHADEMA aidha haina watu mahiri wenye kuijua siasa au watu mahiri wapo ila hawapewi nafasi kwa sababu hawako kwenye kambi kuu.
AHSANTE
Nimefuatilia kwa kina ukabila unaitafuna cdm
Acha uongo mkuu Ccm imemtumia Waziri wa Tamisemi na Watendaji kata kuvuruga Uchaguzi,kama suala ni kujaza fomu kwanini watendaji walikuwa wanazikimbia ofisi zao na kukataa kupokea fomu?Mbinu ambayo hata Wakurugenzi wa Halmashauri wamekuwa wakizifanya chaguzi ndogo zilizopita .Salam wanagenzi
Siasa ni mchezo wa HOVYO unao chezwa na watu smart upstairs, SIASA inakupatia mambo matatu, marafiki, WANAFIKI na maadui unaowajua.
CHADEMA, wana maadui wengi sana na kutokana na kutokuwa na watu upstairs (NYUMBU) wanawapa nafasi kubwa maadui zao kuanzisha mashambulizi ya Mara kwa Mara kabla hawajajipanga wanashambuliwa toka pande nyingine.
NITAFAFANUA PARAGRAPH HIYO HAPO JUU.
1. CCM
2. DEMOKRASIA YA NDANI
3. UMBUMBUMBU JUU YA SHERIA
Walakini yote hayo nasikitika kusema yanakuja kutokana na udhaifu mkubwa ndani ya CHADEMA.
Udhaifu mamba moja ni chama kutokua na vision na mission na kujulikana ni cha mrengo gani?. Mabebari au Wajamaa, au mchanganyiko wa ujamaa na ubepari.
Pili, inayotukia kwa sababu ya para hiyo ya juu, chama kujikuta kikicheza ngoma isiyokua yake, hivyo kujikuta ikidumbukia kwenye kushadadia matukio ambayo yametengenezwa na CCM.
Hapa ikumbukwe kwamba CCM kama chama cha siasa hakina budi kujiimarisha, hivyo haina haja ya kuwalalamikia kwakua hata CHADEMA wangekua kwenye nafasi hiyo wangelitenda kama CCM
Tatu na mwisho chama kinawatu wasomi lakini wanaoendeshwa kwa mihemko badala ya hoja na facts. Kuna makosa madogo madogo sana ya kiufundi, wanayafanya ambayo huharibu kabisa taswira ya chama.
MFANO HIVI PUNDE
Hawakujiandaa kuingia kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa, hawakuwaandaa pia wagombea, CCM ilitawanya wanasheria 1250 nchi nzima kuwaandaa wagombea wao, wakawatega kwenye kimtego cha kisheria wakanasa.
Pia wameingia kwenye mtego ambao umewadondosha kwa asilimia kubwa. Kitendo cha Freeman Aikael Mbowe kuchukua form ya uenyekiti ndio CCM walichokua wakikisubiri, Jana Waziri Mkuu mstaafu Sumaye Tulway kajiondoa CHADEMA halikua tatizo sana bali alichokisema wakati anaondoka.
Maneno aliyoyasema yamekua yakijirudia rudia, kwa kila anayeondoka ndani ya chama na hata walioamua kubaki ndani ya chama rejea ya Komu na Said Kubenea.
CHADEMA aidha haina watu mahiri wenye kuijua siasa au watu mahiri wapo ila hawapewi nafasi kwa sababu hawako kwenye kambi kuu.
AHSANTE
nimeshajua kabila lako
Kuna wakati nachanganyikiwa kama vile nimechanganya K-vant na Chang'aa!
Hivi inakuwaje maadui wa Chadema kila siku wakisemwa anatajwa Mbowe ndio namba one? Na wanaomtaja kwa uchambuzi na tahariri zilizo na Tashwishwi (in Kabudi voice) sio wengine bali ni "marafiki wakubwa" wa Chadema yaani CCM?
Ni kama vile uchunguzi wa adui wa Chadema na njia kupambana nae umefanywa na Kamati Kuu ya CCM na kuletwa kwa wanachama wake wa upiganie kwa nguvu zote.
Hivi wenye Chama yaani Wanachadema hawaoni huyo adui mkubwa wa Chadema yaani Mbowe hadi waje wafundishwe na "marafiki zao wakubwa" CCM?
Naomba ambaye hajanywa chang'aa anisaidie kuelewa ni kwa nini hawa jamaa zetu Chadema hawataki kupokea ushauri musharabu toka kwa "rafiki zao" CCM?
Unajuwa mie naamini kama Mbowe atashinda uchaguzi (maana kwa Demokrasia iliyopo Chadema yeyote anaweza shinda) na makamu wake akawa Lissu huku Katibu mkuu akapewa mwingine zaidi ya Mashiji basi CCM watakipata walichokuwa wakikitafuta katika kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu.Mkuu Chakaza siku ukiwa umepumzika ndani kwako nyakati za usiku na ukasikia huko nje vibaka wanapita na horn speaker wakisema jamani tunawatangazia leo hakikisheni mmeingiza kila kitu ndani maana tutapita kuiba wewe relax uje hata kidekio hakijaachwa nje.
CCM imekamatwa vilivyo na Mbowe mayowe unayosikia ujue vibaka wameshidwa kupenya. MwanaCCM yeyote hawezi kuionea hurumaCDM katika maamuzi yake ya Kijinga !!!
Salam wanagenzi
Siasa ni mchezo wa HOVYO unao chezwa na watu smart upstairs, SIASA inakupatia mambo matatu, marafiki, WANAFIKI na maadui unaowajua.
CHADEMA, wana maadui wengi sana na kutokana na kutokuwa na watu upstairs (NYUMBU) wanawapa nafasi kubwa maadui zao kuanzisha mashambulizi ya Mara kwa Mara kabla hawajajipanga wanashambuliwa toka pande nyingine.
NITAFAFANUA PARAGRAPH HIYO HAPO JUU.
1. CCM
2. DEMOKRASIA YA NDANI
3. UMBUMBUMBU JUU YA SHERIA
Walakini yote hayo nasikitika kusema yanakuja kutokana na udhaifu mkubwa ndani ya CHADEMA.
Udhaifu mamba moja ni chama kutokua na vision na mission na kujulikana ni cha mrengo gani?. Mabebari au Wajamaa, au mchanganyiko wa ujamaa na ubepari.
Pili, inayotukia kwa sababu ya para hiyo ya juu, chama kujikuta kikicheza ngoma isiyokua yake, hivyo kujikuta ikidumbukia kwenye kushadadia matukio ambayo yametengenezwa na CCM.
Hapa ikumbukwe kwamba CCM kama chama cha siasa hakina budi kujiimarisha, hivyo haina haja ya kuwalalamikia kwakua hata CHADEMA wangekua kwenye nafasi hiyo wangelitenda kama CCM
Tatu na mwisho chama kinawatu wasomi lakini wanaoendeshwa kwa mihemko badala ya hoja na facts. Kuna makosa madogo madogo sana ya kiufundi, wanayafanya ambayo huharibu kabisa taswira ya chama.
MFANO HIVI PUNDE
Hawakujiandaa kuingia kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa, hawakuwaandaa pia wagombea, CCM ilitawanya wanasheria 1250 nchi nzima kuwaandaa wagombea wao, wakawatega kwenye kimtego cha kisheria wakanasa.
Pia wameingia kwenye mtego ambao umewadondosha kwa asilimia kubwa. Kitendo cha Freeman Aikael Mbowe kuchukua form ya uenyekiti ndio CCM walichokua wakikisubiri, Jana Waziri Mkuu mstaafu Sumaye Tulway kajiondoa CHADEMA halikua tatizo sana bali alichokisema wakati anaondoka.
Maneno aliyoyasema yamekua yakijirudia rudia, kwa kila anayeondoka ndani ya chama na hata walioamua kubaki ndani ya chama rejea ya Komu na Said Kubenea.
CHADEMA aidha haina watu mahiri wenye kuijua siasa au watu mahiri wapo ila hawapewi nafasi kwa sababu hawako kwenye kambi kuu.
AHSANTE
Sawa. Unaingia kwenye uchaguzi Africa bila mpango kazi zaidi kutarajia vikwazo!CCM waliyoyafanya ktk uchaguzi wa serikali za mitaa ni jambo zuri kwani wamejisababishia jumuia za kimataifa kuuangalia uchaguzi mkuu kwa ukaribu zaidi waangalizi wa kimataifa watakuwa wengi sana na wakisema ccm wameiba kura vikwazo vinafuata.
Ni kushika dola.mpango kazi
Adui wa Chadema ni Chadema na dikteta wake king'ang'anizi wa madaraka bwashee Mbowe
Nawe Pascal hayo ni maoni yako tu. Usilazimishe hoja kama vijana wa lumumba.Duh...!, Mkuu Cherenganya, you are wrong, hii hoja ya adui mkubwa wa Chadema ni CCM, this is the biggest mistake of Chadema, adui mkubwa wa Chadema sio CCM, adui mkubwa wa Chadema ni huyu niliyemtaja hapa
PGE2015 - Kuelekea 2015: CHADEMA, Don't Miss the Target, Adui Mkubwa sio CCM Bali ni ...
Wanabodi, Kuna msemo usemao numbers don't lie, hili ni bandiko la numbers na data, kama sio mzuri wa mathematics na arithmetics nakushauri bandiko hili bora ulipitie mbali and save your time and money kwasababu time is money. Katika thread moja humu jukwaani, nimekutana na mchango wa mwana...www.jamiiforums.com
Mkuu MAYALA heshima kwako.Duh...!, Mkuu Cherenganya, you are wrong, hii hoja ya adui mkubwa wa Chadema ni CCM, this is the biggest mistake of Chadema, adui mkubwa wa Chadema sio CCM, adui mkubwa wa Chadema ni huyu niliyemtaja hapa
PGE2015 - Kuelekea 2015: CHADEMA, Don't Miss the Target, Adui Mkubwa sio CCM Bali ni ...
Wanabodi, Kuna msemo usemao numbers don't lie, hili ni bandiko la numbers na data, kama sio mzuri wa mathematics na arithmetics nakushauri bandiko hili bora ulipitie mbali and save your time and money kwasababu time is money. Katika thread moja humu jukwaani, nimekutana na mchango wa mwana...www.jamiiforums.com
Mbowe si Dicteor bali kwa mazingira yaliyopo chamani haamini kama angalipo mwenye uwezo na nia ya kuifikisha CHADEMA sehemu kusudiwa.Adui wa Chadema ni Chadema na dikteta wake king'ang'anizi wa madaraka bwashee Mbowe
Kitabu kisichoandikwa kwa ajili yako huwezi kielewa. Sorry bro kama ulizaliwa na mtindio wa ubongo sinao uwezo wa kukutibuNimejaribu kuunganisha kichwa cha habari na yaliyomo ndani...nimeshindwa kuona ulinganifu...nimeona lawama, kejeli na kujifanya unajua maadui wa CDM kumbe wala huna hata Idea.
Umeandika ujïnga mtupuSalam wanagenzi
Siasa ni mchezo wa HOVYO unao chezwa na watu smart upstairs, SIASA inakupatia mambo matatu, marafiki, WANAFIKI na maadui unaowajua.
CHADEMA, wana maadui wengi sana na kutokana na kutokuwa na watu upstairs (NYUMBU) wanawapa nafasi kubwa maadui zao kuanzisha mashambulizi ya Mara kwa Mara kabla hawajajipanga wanashambuliwa toka pande nyingine.
NITAFAFANUA PARAGRAPH HIYO HAPO JUU.
1. CCM
2. DEMOKRASIA YA NDANI
3. UMBUMBUMBU JUU YA SHERIA
Walakini yote hayo nasikitika kusema yanakuja kutokana na udhaifu mkubwa ndani ya CHADEMA.
Udhaifu mamba moja ni chama kutokua na vision na mission na kujulikana ni cha mrengo gani?. Mabebari au Wajamaa, au mchanganyiko wa ujamaa na ubepari.
Pili, inayotukia kwa sababu ya para hiyo ya juu, chama kujikuta kikicheza ngoma isiyokua yake, hivyo kujikuta ikidumbukia kwenye kushadadia matukio ambayo yametengenezwa na CCM.
Hapa ikumbukwe kwamba CCM kama chama cha siasa hakina budi kujiimarisha, hivyo haina haja ya kuwalalamikia kwakua hata CHADEMA wangekua kwenye nafasi hiyo wangelitenda kama CCM
Tatu na mwisho chama kinawatu wasomi lakini wanaoendeshwa kwa mihemko badala ya hoja na facts. Kuna makosa madogo madogo sana ya kiufundi, wanayafanya ambayo huharibu kabisa taswira ya chama.
MFANO HIVI PUNDE
Hawakujiandaa kuingia kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa, hawakuwaandaa pia wagombea, CCM ilitawanya wanasheria 1250 nchi nzima kuwaandaa wagombea wao, wakawatega kwenye kimtego cha kisheria wakanasa.
Pia wameingia kwenye mtego ambao umewadondosha kwa asilimia kubwa. Kitendo cha Freeman Aikael Mbowe kuchukua form ya uenyekiti ndio CCM walichokua wakikisubiri, Jana Waziri Mkuu mstaafu Sumaye Tulway kajiondoa CHADEMA halikua tatizo sana bali alichokisema wakati anaondoka.
Maneno aliyoyasema yamekua yakijirudia rudia, kwa kila anayeondoka ndani ya chama na hata walioamua kubaki ndani ya chama rejea ya Komu na Said Kubenea.
CHADEMA aidha haina watu mahiri wenye kuijua siasa au watu mahiri wapo ila hawapewi nafasi kwa sababu hawako kwenye kambi kuu.
AHSANTE
Ilimradi ameandika...Nimejaribu kuunganisha kichwa cha habari na yaliyomo ndani...nimeshindwa kuona ulinganifu...nimeona lawama, kejeli na kujifanya unajua maadui wa CDM kumbe wala huna hata Idea.
Unafiki haujifichi..ebu rudia kusoma ulichoandika....CCM kazi mnayo...Salam wanagenzi
Siasa ni mchezo wa HOVYO unao chezwa na watu smart upstairs, SIASA inakupatia mambo matatu, marafiki, WANAFIKI na maadui unaowajua.
CHADEMA, wana maadui wengi sana na kutokana na kutokuwa na watu upstairs (NYUMBU) wanawapa nafasi kubwa maadui zao kuanzisha mashambulizi ya Mara kwa Mara kabla hawajajipanga wanashambuliwa toka pande nyingine.
NITAFAFANUA PARAGRAPH HIYO HAPO JUU.
1. CCM
2. DEMOKRASIA YA NDANI
3. UMBUMBUMBU JUU YA SHERIA
Walakini yote hayo nasikitika kusema yanakuja kutokana na udhaifu mkubwa ndani ya CHADEMA.
Udhaifu mamba moja ni chama kutokua na vision na mission na kujulikana ni cha mrengo gani?. Mabebari au Wajamaa, au mchanganyiko wa ujamaa na ubepari.
Pili, inayotukia kwa sababu ya para hiyo ya juu, chama kujikuta kikicheza ngoma isiyokua yake, hivyo kujikuta ikidumbukia kwenye kushadadia matukio ambayo yametengenezwa na CCM.
Hapa ikumbukwe kwamba CCM kama chama cha siasa hakina budi kujiimarisha, hivyo haina haja ya kuwalalamikia kwakua hata CHADEMA wangekua kwenye nafasi hiyo wangelitenda kama CCM
Tatu na mwisho chama kinawatu wasomi lakini wanaoendeshwa kwa mihemko badala ya hoja na facts. Kuna makosa madogo madogo sana ya kiufundi, wanayafanya ambayo huharibu kabisa taswira ya chama.
MFANO HIVI PUNDE
Hawakujiandaa kuingia kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa, hawakuwaandaa pia wagombea, CCM ilitawanya wanasheria 1250 nchi nzima kuwaandaa wagombea wao, wakawatega kwenye kimtego cha kisheria wakanasa.
Pia wameingia kwenye mtego ambao umewadondosha kwa asilimia kubwa. Kitendo cha Freeman Aikael Mbowe kuchukua form ya uenyekiti ndio CCM walichokua wakikisubiri, Jana Waziri Mkuu mstaafu Sumaye Tulway kajiondoa CHADEMA halikua tatizo sana bali alichokisema wakati anaondoka.
Maneno aliyoyasema yamekua yakijirudia rudia, kwa kila anayeondoka ndani ya chama na hata walioamua kubaki ndani ya chama rejea ya Komu na Said Kubenea.
CHADEMA aidha haina watu mahiri wenye kuijua siasa au watu mahiri wapo ila hawapewi nafasi kwa sababu hawako kwenye kambi kuu.
AHSANTE
Kaka ondoa vikra za kwamba kila anayezungumzia CHADEMA kichambuzi anaipinga utakua unadhalilisha uwepo wako katika dunia hii.Unafiki wanaoipinga CDM utawarudia wenyewe