Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,666
Amelionglea hili jumla jumla ndio maana tunashindwa kuelewa ni vip fikra zinavyoaadhiriwa na maadili" maana kama fikra zinakutuma uwe mwizi ili moyo wako ufaurahi basi then useme maadili yankukosesha uhuru litakua jambo la taoafuti kabisaLabda kama sijakuelewa lakini kama nimekuelewa ni hivi huwezi kuishi unavyotaka ili nafsi yako iridhike kwa sababu umezaliwa na umeishi katika jamii inayokuzunguka,kuna kanuni na sheria za jamii husika kumbuka jamii inauhusiano na Mungu kwa wale wanaoamini Mungu,na kwa wasioamini Mungu nao pia kuna miungu wao sasa huwezi kuishi unavyotaka inje ya misingi ya jamii yako,nadhani ni tamaa zaidi inaweza kumuongoza mtu eti kwa kuwa fulani anaishi hivi basi na mimi niwe hivyo lakini unashindwa kujua labda anaishi kulingana na jamii yake.
Halafu haujasema jinsi fikra zetu zinavyoathiriwa,toa angalau mifano
Labda kama sijakuelewa lakini kama nimekuelewa ni hivi huwezi kuishi unavyotaka ili nafsi yako iridhike kwa sababu umezaliwa na umeishi katika jamii inayokuzunguka,kuna kanuni na sheria za jamii husika kumbuka jamii inauhusiano na Mungu kwa wale wanaoamini Mungu,na kwa wasioamini Mungu nao pia kuna miungu wao sasa huwezi kuishi unavyotaka inje ya misingi ya jamii yako,nadhani ni tamaa zaidi inaweza kumuongoza mtu eti kwa kuwa fulani anaishi hivi basi na mimi niwe hivyo lakini unashindwa kujua labda anaishi kulingana na jamii yake.
Halafu haujasema jinsi fikra zetu zinavyoathiriwa,toa angalau mifano
Hata wasio na dini nao wanamazingira yao,wewe pia uliongelea upande wa imani ndo maana nikagusia,lazima utambue maadili yanatofautiana kulingana na mazingira husika,kuna wengine kumuheshimu mume mpaka upige magoti,hauruhusiwi kuoga bafu analotumia mkwe wako lakini kwa wengine haiko hivyo na ukifanya kulingana na mazingira uliyokulia na maadili uliyofundishwa watakuona mtu wa ajabu kwani wao hawajazoeaUnachanganya imani ya dini na maadili...je watu wasiokuwa na dini na hofu ya mungu unataka kuniambia hawana madili?fikra zinaathiriwa kwa mfano mtu kuhofia kufunga ndoa na mtu wa dini tofauti kwa hofu jamii na wazazi watalichukuliaje suala hilo!
Nakubali kuna baadhi ya nchi kama hizo ulizotaja zina maadili makali juu ya mavazi ma matendo yao..lkn je hao wanaojifanya wafata maadili ndio wakiukaji wakubwa nyuma ya pazia...kwasababu hawaishi na zile kanuni wanazotaka wanafata mkumbo tu na ndio maana wengi wao huishia kuenda kinyume na maadili hayohayo...Hofu ya kwamba jamii itawatenga na kuwasinya inawatawala,uoga wa kwamba watapata reputation mbaya unafanya watu wasijiamini kufanya yale yanayowaridhia!Wakati mwingine tunaishi kutokana na jamii husika, kuishi maisha huru sio rahisi hasa ukiwa katika jamii zinafuata maadili fulani. Nitoe mfano wa mavazi kulingana na mazingira; ukiishi nchi za kiarabu, kama mwanamke..utake usitake lazima uvae kutokana na mazingira, sidhani kuwa wanawake wote wanaoidhi nchi za kiarabu wanapendelea kujikanda nguo mwili mzima "wakati wote" lakini hawana uhuru wa kufanya hivyo. Lakini wale wanaoishi ulaya na magharibi wana uhuru, kwa hiyo inabaki uchaguzi wa mtu kufanya atakalo.
Wengi wangependa kuishi watakavyo, lakini sio rahisi kuishi utakavyo kwa sababu uko mwenye jamii, ingekuwa unaishi pekeyo, hapo sawa. Lakini ili ukubalike katika jamii Ni lazima uendane na nini jamii husika inataka, na ndio maana zikawekwa angalau kanuni, sheria zinazoiongoza jamii..
Amelionglea hili jumla jumla ndio maana tunashindwa kuelewa ni vip fikra zinavyoaadhiriwa na maadili" maana kama fikra zinakutuma uwe mwizi ili moyo wako ufaurahi basi then useme maadili yankukosesha uhuru litakua jambo la taoafuti kabisa