Da Vinci XV
JF-Expert Member
- Dec 7, 2019
- 3,871
- 6,479
Wasalaam
Ni kwa mapenzi yake Mwenyezi Mungu mkuu, leo tumeiona siku nyingine tena.
Leo nimeona nitoe kidogo ninachokiwaza mimi , mwingine anaweza kuona ni mwiko kwake nami naziita Gentleman's Codes kwasababu zimenitoa point A mpaka B
Na hili ni baada ya kuona wimbi la Vijana likishushusha lundo la Nyuzi za Ulalamishi juu ya Kipato , Mapenzi na Maisha kwa Ujumla Mitandaoni.
Hilo la Mapenzi limekuwa mwiba kabisa, Nami nitaBase sana hapa, Vijana wengi tumekuwa sababu ya Wanawake kujumuisha wanaume wote sawa kwa upumbavu wa Wavulana wachache., waliowaumiza. Yaani uumizwe na KENZY halafu ujumuishe Dunia nzima tuko na Tabia kama KENZY
Nitaleta baadhi ya Nywira ambazo mwanaume kimsingi unatakiwa kuishi humo kuepuka kuburuzwa uwe na kipato au laah. Sasa wewe kijana / Mwanaume utapopata koloni jipya au makoloni mapya acha kuwa ndezi.
1 . Take a chance to purify those Negative feelings about Men. Tuwakilishe wanaume vyema ukipata milki mkuu kuwa sultani acha kutawala kama Chief Mangungo wa Msovero, na Bogus treat.
2 . Mwanamke huwa hapigwi kijinga jinga, eti kisa , kakutia kibanzi cha Jicho we mpandishe cheo Awe Bi mkubwa au Mdogo kwa kadiri utakavyotaka, ikiwezekana piga chini kuna wanawake zaidi ya billion 5 hii dunia
Be a Man Broh,
3 . A gentleman keeps his sword closer and that is his good heart, has a soul full of passion which hides his fear.
4 . Sasa broh , Msichana hana hata FARE, anakusaidia nini sasa broh? Just SEX,?? Do you even respect yourself as Man?
5 . Ukipewa KULA , then nyamaza...wewe sio Mwijaku kila kitu uropoke ropoke.
Be a Man Not a Boy.
6 . Ongeza akili kidogo tu uache mazoea na wasichana wasiokusaidia in term of Bills Payment, ushauri, Mawazo na Kukutia moyo pale Inapoitahitajika, Unahitaji mwanamke atakaekuuliza 'Tunafanyaje' sio 'unafanyaje'!?,🤷♂️
7 . Never disrespect the girl that made sure , you are okay when nobody else did......Yes she queeeeeen👸
8 . Broh stop having SEX with women, who don't take you out on dates or buy you gifts, you deserve more Broh not only SEX.
Be a Man,
9 . Unahangaika kumpigia dey whole day , hata texts zako hazijibiwi ,Unawaza nini? atakuwa na Mtu wake mwingine Si ndiyo? Yes unachowaza ni sahihi Broh? , Yes she just having a little Sex Broh, she gonna text you back no worries.
10 . You're giving her roses, Chocolates and gifts Nyinginezo, kuna Mchizi mmoja anampatia headaches analia mpaka macho yanavimba, na umekaa tu hapo unawaza Umshike huyo mchizi utumie Wahuni wamfumue malinda eti kisa kamla mkeo. Ni wewe na Ujinga wako kuwa na Girl hajiheshimu na Haimiliki akili, akizingua na unamhudumia kila kitu piga chini huyo mshamba.
Be a Man
11 . Upo bize unachekesha msichana kule inbox kaa silly mara ujiite Memelord mara ujione wewe ndio Joti sijui, kumbe wewe ndiyo therapy yake Baada kuchezea Blueticks kwa yule jamaa anaempenda
Aya fungua clinic sasa Mr. Therapist.
Be a Man , Broh
12 . Hauwezi compete na Mbaba mwenye anapatiaga pesa, na kumhudumia kila kitu hata ukuwe handsome vipi😅, ishi humo humo kwa Tahadhali.
13 . Ni muhimu kujiuliza Mwanamke wako, ni Fasihi simulizi (mali ya Umma) au Laaah itakusaidia
14 . Usidate na msichana wa Rafiki yako hata kama wameachana.
15 . Pesa muhimu sana, Sanaaaa, Saaaanaaaaaaaaaa.
Zisake.
A gentleman has golden Rule.
He finds something to care for and cares for it deeply
Hizo ni baadhi ya Nywira ambazo unaweza kuishi humo au Laah , Upendavyo
Unaweza kuongeza hapa za kwako.