Maadili ya Mwanaume

Maadili ya Mwanaume

Maadili ya mwanamme halafu yameandikwa na mvulana, eti broh broh! Shenzi. You’re just another boy tryna lecture them men.
Hata wazee huelimishwa na Watoto.,

Ujinga wa mkubwa ni kukubali yeye ni Mjuzi wa kila kitu kuliko mtu mwingine yoyote aliemzidi Umri, wewe unafanana na wao kama sio miongoni mwao.



NB: Jina la uzi halikuwa hilo limebadilishwa na Mods , na ndiyo maana comment ya pili nmeclaim hapo,
 
Mwanamke wa fasihi simulizi mali ya umma temana nayeye. Umeandika saana mwamba kiume zaidi. πŸ‘πŸ»πŸ‘πŸ»πŸ‘πŸ»πŸ‘πŸ»πŸ‘†πŸ» hizi codes nimezielewa mno na baadhi nazitumia katika kutafuta mkike
πŸ™πŸ™πŸ™
 
Hivi kenzy kakukosea nini lakini??πŸ˜‚πŸ˜‚
Naendelea kuchukua notes
 
Hivi kenzy kakukosea nini lakini??πŸ˜‚πŸ˜‚
Naendelea kuchukua notes
KENZY ni ndugu yangu...sana huyu hajanikosea bwanaπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Ni mtu mstaarabu sanaπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ™Œ
 
Hivi kenzy kakukosea nini lakini??πŸ˜‚πŸ˜‚
Naendelea kuchukua notes
KENZY ni ndugu yangu...sana huyu hajanikosea bwanaπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Ni mtu mstaarabu sanaπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ™Œ
πŸ˜‚πŸ˜‚ Mtu mstaarabu ndo niwekwe kwenye mifano ya kuacha na kuachwa..🀣
 
Back
Top Bottom