Maadili hayapo tena ccm

Mzito Kabwela

JF-Expert Member
Nov 28, 2009
18,857
7,617
Nimesikitishwa sana na kitendo cha Mbunge anayejipambanua kama mcha Mungu, msomi na mwakilishi wa mama zetu Mkoa wa mbeya kwa tabia za udokozi na wizi. Mimi naamini maadii yamefutika kabisa ccm na kama hatachukuliwa hatua ikiwa ni pamoja na kumfukuza uanachama ccm itakuwa imejipaka uchafu miongoni mwa wanajamii
 
Acha unafki wewe wewe kuna mangapi unayofanya ambayo pengine ni machafu kuliko hata haya? Ina maana wewe ni mkamilifu huna mapungufu? Usiwe mwepesi wa kutazama boriti iliyo katika jicho la mwenzako wakati ya kwako huioni.Amakweli nyani haoni kudule!! Back 2 topic CCM Walishindwa kumfukuza chenge badala yake akapewa cheo cha uenyekiti wa maadili sembuse huyo.
 
Back
Top Bottom