Maadhimisho ya siku ya bodaboda 15/12/2012

Rugaijamu

JF-Expert Member
Jul 10, 2010
2,942
1,294
Wadau nimeisikia taarifa hii kupitia taaifa ya habari ya saa nne asubuhi, Radio Ulanga FM, kuwa tarehe 15/12/2012 yatafanyika maadhimisho ya bodaboda nchini, kitaifa yatafanyika mkoani Tanga na mgeni rasmi atakuwa waziri mkuu wa JMT.
Lengo ni kukumbuka wale wate walioathiriwa na usafiri huo nchini

Niwaulize ndugu zangu hivi kuandaa na kufanya maadhimisho ya namna hii ndio suluhu ya kupambana na ajali zinazotokana na bodaboda?
 
Ni jambo zuri,wakijadiliana mambo ya msingi linaweza kuwa na tija kwa maendeleo ya taifa,maana sekta hii inaajili vijana wengi!!
 
Back
Top Bottom