mtima nyongo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 1,947
- 2,047
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] pole sanaNi nani kawaambia kuwa maadhimisho hayo yatatumia pesa, maadhimisho hayo hayawezi kutumia hata senti moja.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] pole sanaNi nani kawaambia kuwa maadhimisho hayo yatatumia pesa, maadhimisho hayo hayawezi kutumia hata senti moja.
Mnawashwaga nyinyi.Kubana matumizi kumeisha! Maana hata michezo ya wanajeshi imeruhusiwa
Serikali ya uncle JPM ina vimbwanga.Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 55 yatafanyika katika Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam, Tarehe 9 Desemba, 2016.
Mgeni Rasmi katika sherehe hizi atakuwa Rais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli.
Kauli Mbiu: "Tuunge Mkono Jitihada za Kupinga Rushwa na Ufisadi na Tuimarishe Uchumi wa Viwanda kwa Maendeleo Yetu"
View attachment 442902
Mijitu mingine bana, amebana hela kidogo mmembwelambwela mitaani, oooh hela hakuna, sijui nini, oooh nchi inakwenda wapi sasa, oooh ubahili haufai, sasa kaanza kufungulia hela mnakuja na slogan nyingine! Machadema bana, wazee wa kubadili gia angani! Ovyo kabisa nyinyi.Bana matumizi Zilikuwa nguvu za Soda. Mwendo mdundo.
Chama Cha Matumizi (CCM)
Wajinga ndio waliwao, sasa hivi kuna kituko kingine kinaitwa kata funua.Jiulize kwanza kwa nini Mbowe anazunguka nchi nzima akitumbua ruzuku ya chama na kuja na operation zisizo na kichwa wala miguu huku chadema haina ofisi for over 25!!! Years
....Maazimio...maazimisho=maadhimisho
....Imebaki MAJI matupu....Naona Pepsi imeisha gesi.
[emoji3] [emoji3] itakuwa comment ya mkuu wa mkoa wa tzNi nani kawaambia kuwa maadhimisho hayo yatatumia pesa, maadhimisho hayo hayawezi kutumia hata senti moja.
Sasa kama hakukuwa na pesa , zile zilizojenga Barabara ya Morocco zilitoka wapi ?Kupanga ni kuchagua.Wakati Magufuli anaingia madarakani serikali ilikua imetoka kwenye uchaguzi,cash flow haikua nzuri na hali za miundo mbinu zilikua mbaya ndio maana alichukua hatua ya kufuta baadhi ya sherehe,lakini hakusema kwamba hatua ile itakua ni ya kudumu.
Sasa serikali ina uwezo wa kukusanya zaidi ya trilioni kwa mwezi,basi si vibaya tukasheherekea uhuru wetu,karibuni sana wapendwa!